Waliopata mikopo HESLB 2014/15

daaaa``` cjui hata itakuwaje 2kifika hko coz bila mkopo cjui
 
Vipi mkuu ujapata soft copy ya hayo majina?
 
Hello
Samahani mkopo wetu katka Chuo chetu wamebandika lini kwenye notice board ya IFM? Niko mbali kidogo nataka nimwambie mwanachuo mwenzangu akanichekie.Ahsante
 
plz jaman na udom yakitoka tujuzane coz web yao hamna kitu wasije wakawa wametoa chuoni nao!
 
kwa wale wa st john majina yamebandikwa chuoni..
ndg ni ya mwaka wa kwanza au wa pili na tatu? coz nmepitapo muda flan km saa sita nkakuta ya wapil na tatu nkaambiwa wakwanza bado xo km wameweka tusaidiane....
 
Wadau atakaye pata maina ruco atupie

kaka wametoa kweli m nimewapigia chuoni wakasema bado hawajapata majina.na kuhu usajiri kuna jamaa yangu yupo hapo mwaka wa pili amesema first year wameambiwa wasubilie kwanza mpaka majina ya mkopo yatoke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…