Waliopata mkopo UDSM 2014/2015

Avatar mok hebu nichekie GERALD MUGISHA BUNINANGE
 
Last edited by a moderator:
Avatar mok please nichekie Hadija Haruna Makurunge
 
Last edited by a moderator:
mdau fanya kunisaidia iv kwa continuing, majna nayapataje kwa mfano,, naomba msaada

asee mi nadeal na wadogo zangu wamwaka wa kwanza. labda kukushauri uwe unatembelea web zao
 
guys kwenye hizo columns za loan division ya stationery , tuition fees , meals and accommodation sasa kuna column moja imeamdikwa (sfr) hiyo ina maana gani???


sfr means special faculty requirement.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…