Waliopata mume kwa upepo wa kisulisuli njooni hapa mtupe mrejesho

The Genius

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2018
Posts
822
Reaction score
2,095
Wakuu salamu.

Hivi kuna mwanamke yeyote yule iwe wa familia yenu, mtaani, jirani au humu Jf aliyehudhuria ibada ya kisulisuli na sasa ameshapata mme?

Hebu tushirikishe ulimpata pata vipi au alikuja kwa staili gani, isije kuwa wenzetu tunawapita bila kujua kuwa ndio hao.

..............
SIO VIBAYA KUAMBIANA MIUJIZA NA SHUHUDA KUTOKA KWA MUNGU WETU
Kama yupo hebu comments hapa utuambie alikuja vipi!
 
Mimi hapa nimebahatika pia...asante sana mama Rwakatare! ninashukuru nimepata wa "kunihifazi"

Nimepata wa kumalizia uzee naye! Ananipa kila siku 6000/ !niseme nini basi!sifa na utukufu ni kwa Mungu! Kosa hela lakini usikose mume jamani! Nashuhudia haya nikiwa na akilitimamu kabsa!
 
Duh! Na Kipato Unaweka Hadharani?

Au Ni Chai Hii?
 
πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ Kweli siku nyingi hatujapeana michapo. Hongera! Ipo siku nitakutambulisha shemeji yako..

πŸ™ŠπŸ™ŠπŸ™ŠπŸ‘―πŸ‘―πŸ‘―πŸ˜ŒπŸ˜ŒπŸ˜”πŸ˜’!hatarious...hahahaa...!ntakuchek
 
Bado wako honey moon
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…