Waliopata point 26/27 ya miaka ya nyuma ualimu ndio basi?

Waliopata point 26/27 ya miaka ya nyuma ualimu ndio basi?

reubenzabron

Member
Joined
Aug 3, 2014
Posts
28
Reaction score
1
serikali imewaacha wadogo zetu haijawapeleka katika vyuo vya ualimu je ndo basi au wana mpango gani juu yao au ndo elimu yao imeishia hapo naomben msaada wenu kwa ufafanuzi zaidi
 
mimi nina division 4 ya 32 na nina credit 3 na nilituma maombi ualim lakn imeguma je mwakan naeza pata a-level prvate?
 
Back
Top Bottom