R reubenzabron Member Joined Aug 3, 2014 Posts 28 Reaction score 1 Sep 19, 2014 #1 serikali imewaacha wadogo zetu haijawapeleka katika vyuo vya ualimu je ndo basi au wana mpango gani juu yao au ndo elimu yao imeishia hapo naomben msaada wenu kwa ufafanuzi zaidi
serikali imewaacha wadogo zetu haijawapeleka katika vyuo vya ualimu je ndo basi au wana mpango gani juu yao au ndo elimu yao imeishia hapo naomben msaada wenu kwa ufafanuzi zaidi
R100 JF-Expert Member Joined Sep 11, 2014 Posts 337 Reaction score 81 Sep 19, 2014 #2 mimi nina division 4 ya 32 na nina credit 3 na nilituma maombi ualim lakn imeguma je mwakan naeza pata a-level prvate?
mimi nina division 4 ya 32 na nina credit 3 na nilituma maombi ualim lakn imeguma je mwakan naeza pata a-level prvate?