Waliopata sufuri darasa la saba katika Hisabati

Enumi

Member
Joined
Mar 15, 2010
Posts
5
Reaction score
1
Ninaomba msaada, kama mtu anafahamu wapi naweza kupata takwimu za asilimia ngapi ya watainiwa wa darasa la saba, walijinyakulia sufuri katika somo la hisabati kimkoa hapa tanzania kwa miaka mitano iliyopita anitonye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…