Waliopewa vyeo vya Uwaziri na Unaibu Waziri wasiharibu taswira ya Rais Magufuli kwa maslahi yao!

jingalao

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
36,197
Reaction score
29,717
Hili ni angalizo tu kwa wanaopewa dhamana ya kuwa mawaziri au manaibu uwaziri kuwa mnapoaminiwa na Mheshimiwa Rais kupewa nafasi ya kuhudumia wananchi kamwe msiweke maslahi yenu mbele bali muweke maslahi ya Taifa Mbele na kamwe matendo yenu yasitake kuharibu Image ya mheshimiwa Rais.

Wapo baadhi yenu mliopewa chance ya kurekebisha mambo kwa nia njema ila msitumie madaraka yenu hovyo mtaanguka na mtamuangusha Mheshimiwa Rais.

work hard and solve genuine issues za wananchi.

Tunawajua na tunaweza kujua mission zenu nyakati zote msifanye hivyo but fanyeni mazuri kama mlivyoelekezwa na lengo lenu siku zote libakie kumnyanyua mwananchi wa chini katika ukweli tu.

Hata kama mlipotoka hapo awali na labda mlikuwa hamuamini kuwa Jembe JPM atakuwa Rais basi sasa muamini kuwa JPM is the President of URT na hakuwa hivyo kwa bahati mbaya au kwa juhudi zenu bali kwa utendaji wake ambao leo hii tumeushuhudia na kila mtanzania anaushuhudia.

JPM alipambaniwa na wachache na wachache hao wataendelea kumpambania usiku na mchana na ATASHINDA TENA kwa kishindo.

Kamwe msimpotoshe au kupotosha umma kwa maslahi yenu binafsi.

msimzunguke na wala msijizungushe kwa maslahi yenu.

Maslahi yatakayosimama ni maslahi ya umma na wanyonge tu.
 
hii ni kwa wenye usikivu
 
Wakati mnawanunua kwa mbwe mbwe nyingi na kuwapa madaraka hamkujua hilo.
 
Kwani si huwa wanapewa semina elekezi na walikula viapo vipi kuna mamluki wanaotaka kuchafua hali ya hewa?

Au ujio wa chuma una wachachawisha
 
Kwani si huwa wanapewa semina elekezi na walikula viapo vipi kuna mamluki wanaotaka kuchafua hali ya hewa?

Au ujio wa chuma una wachachawisha
Kama unamuongelea lissu ndio chuma endelea kujifurahisha
 
halafu wapuuzi hawa wanamtumia millard Ayo sijui Globa Tv ,tweeter n.k ...hebu acheni upuuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…