Wandugu naomba kujua kama kuna walipoitia shule ya msingi Yombo enzi za mwalimu mkuu akiitwa Nyange hii ni miaka ya 71 na kuendelea.Hii ni shule iko karibu na shule ya vilema na kanisa katoliki.
Kama mpo naomba mni PM niwatumie picha nilizopiga pale.
Nikajiuliza hivi kwa nini waalimu wakuu wasiwe wanachukua angalau datatabase na kuwafuatailia wanafunzi waliofaulu tu std 7.Hawa hawawexzi kushindwa kuzisaidia shule hizi huko mbele zikihitaji angalau volunteers.