Waliopo katika kumbukumbu ya mwaka 1 ya kifo cha kanumba tupeni updates

sigachuma

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2011
Posts
233
Reaction score
29
tunaomba updates na picha za kinachoendelea, yanayosemwa, je lulu nae yupo? Na kuna nini kipya?
 
Mi inanihusu nini hiyo kumbukumbu?, kama kufa keshakufa unataka nini kutoka kwake? watz bana kwa kupenda udaku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…