Henry Kilewo
JF-Expert Member
- Feb 9, 2010
- 899
- 1,103
......kwakuwa wananchi wa ubungo hawakumchagua ila ilbidi walizimishe kuchukua jimbo hilo aliyekuwa amechaguliwa ni mnyika wa chadema na siyo yeye akawatahadharisha wanaotaka ubunge kwa jimbo hilo, wasidhubuti kwakuwa ipo wazi yakuwa mnyika ndiye chaguo la wananchi kwasasa na hata baadae,
Acha hizo wewe nani kakwambia kwamba Mnyika ni chaguo la wananchi wa jimbo la uchaguzi la Ubungo. Kwa lipi hasa zuri kafanya ili awe chaguo la wananchi. Hilo jimbo pamaoja na mengine yoote yatakuwa wazi ifikapo Octoba kwa yeyote anayejiona ana sifa aweze kugombea .juzi majira ya saa nne usiku huko dodoma nusara zitwangwe bila kuwa na refa nikwa wale wabunge waliyo poteza muelekeo kwenye majimbo yao ya ubunge huku kienja akisema alikuwa yuko sawa kwakupoteza muelekeo wa kisiasa kwakuwa wananchi wa ubungo hawakumchagua ila ilbidi walizimishe kuchukua jimbo hilo aliyekuwa amechaguliwa ni mnyika wa chadema na siyo yeye akawatahadharisha wanaotaka ubunge kwa jimbo hilo, wasidhubuti kwakuwa ipo wazi yakuwa mnyika ndiye chaguo la wananchi kwasasa na hata baadae,
unaweza kukubali au kukataa ni ufahamu wako ila ukweli ndiyo huwo katamka kienja mwenyewe aliyekuwa anagombea na si ubungo tu na majimbo mengne yanawenyewe na siyo ccm tena kwasasa wananchi hawadanganyiki tena na tena kama munaendelea kubisha mfuateni kienja mukamuulizi atawapa majibu ya kujitosheleza,Acha hizo wewe nani kakwambia kwamba Mnyika ni chaguo la wananchi wa jimbo la uchaguzi la Ubungo. Kwa lipi hasa zuri kafanya ili awe chaguo la wananchi. Hilo jimbo pamaoja na mengine yoote yatakuwa wazi ifikapo Octoba kwa yeyote anayejiona ana sifa aweze kugombea .
kilewo said:waliyo poteza muelekeo wa kisiasa
kilewo,
waliyo poteza = waliopoteza
muelekeo =mwelekeo
au vipi?
Waliopoteza muelekeo wa kisiasa nia as follows.........!
1.chadema
2.zitt0
3........
juzi majira ya saa nne usiku huko dodoma nusara zitwangwe bila kuwa na refa nikwa wale wabunge waliyo poteza muelekeo kwenye majimbo yao ya ubunge huku kienja akisema alikuwa yuko sawa kwakupoteza muelekeo wa kisiasa kwakuwa wananchi wa ubungo hawakumchagua ila ilbidi walizimishe kuchukua jimbo hilo aliyekuwa amechaguliwa ni mnyika wa chadema na siyo yeye akawatahadharisha wanaotaka ubunge kwa jimbo hilo, wasidhubuti kwakuwa ipo wazi yakuwa mnyika ndiye chaguo la wananchi kwasasa na hata baadae,
Inaelekea uko tayari kabisa kushangaa ifikapo December 2010. Ukweli ni kwamba Keenja hana nia ya kugombea tena. Ila sijaona mtu wa kuizuia CCM kushinda Ubungo.SI keenja tu,sisi raia wa ubungo hatuwataki hata hao CCM inotaka kuwaleta ( Shamsa Mwangunga ), We have tried these guys (CCM) so hard its now time to try something different.
kweli kabisa tufanyeni mabadiliko ya kweli hata kama wewe siyo mwanasiasa unapaswa kuelimisha jamii nzima ccm hawana jipya ni wale wale tuSI keenja tu,sisi raia wa ubungo hatuwataki hata hao CCM inotaka kuwaleta ( Shamsa Mwangunga ), We have tried these guys (CCM) so hard its now time to try something different.