Viongozi wa chama Cha Mapinduzi CCM pamoja na Jumuiya zake Kutoka maeneo tofauti ikiwemo tawi la Katoma, wamejitokeza na kukemea vijana waliopotosha kauli ya Mbunge wa Jimbo la Geita Mjini Constantine Kanyasu.
Mwenyekiti wa CCM tawi la katoma Emanuel Maguzu pamoja na Viongozi wengine wameeleza kusikitishwa na upotoshaji uliofanywa na baadhi ya vijana wa UVCCM kuhusu kauli ya Mbunge juu ya kuwataka vijana kujiongezea thamani kabla ya kuwa viongozi.

Constantine Kanyasu na GGM Wamehodhi maeneo yote ya uchimbaji wa dhahabu Geita,vijana hawana maeneo ya uchimbaji!!
CCM wanamzibia macho😔 na wanajuwa wazi kuwa ni fisadi