Waliosafilisha wanyamapori kupitia KIA mbaroni.

Mtoka Mbali

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2010
Posts
237
Reaction score
26
Jana ilikuwa ni siku ya kamata kamata kwa wale wote waliojihusisha na kusafirisha wanyama pori kupitia KIA. Sina uhakika na idadi ya watuhumiwa waliokamatwa ila uhakika nilionao ni kwamba wahusika wakuu Jana walikamatwa na walishindwa kutimiza masharti ya dhamana hivyo kuwekwa selo mpaka hivi sasa. Nitakuwa nikiwajuza kadri mambo takavyokuwa yakiendelea.
 
CCM kidumu ili kiwe chama cha upinzani! Wakiandamana iwe virungu mpaka majumbani mwao! Duh! Hapana, kisasi ni cha Bw. Mungu wa Yakobo! wakidumu wataanza kujenga hoja wakiwa wapinzani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…