Waliosema Chama ni mchezaji wa mechi ndogo mnakaribishwa hapa

Waliosema Chama ni mchezaji wa mechi ndogo mnakaribishwa hapa

Tujikite kwa SIMBA YOTE…!!! Kwenye pitch pale Chama ni 1/11. Unawaongeleaje hao 10 waliobaki?? Bila yeye wanaenda vizuri..???
Kwani anacheza peke yake? Hata Messi pamoja na ubora wake bado ili afanikiwe anawahitaji wenzake.

Leo kanoute, zimbwe, inonga, onyango na kibu wamekuwa na mchezo safi sana.
 
Chama ni jini la Lusaka
Linatisha ukuliona waulizeni Horoya+uto fans😆
 
Back
Top Bottom