Execute JF-Expert Member Joined Sep 21, 2022 Posts 3,000 Reaction score 7,336 Mar 18, 2023 #1 Heshima kwake mwamba wa Lusaka na wale wapinzani wake wanapitia kipindi kigumu sana. Hattrick kwenye ligi ya mabingwa wa Afrika.
Heshima kwake mwamba wa Lusaka na wale wapinzani wake wanapitia kipindi kigumu sana. Hattrick kwenye ligi ya mabingwa wa Afrika.
BRN JF-Expert Member Joined Nov 18, 2013 Posts 5,188 Reaction score 6,633 Mar 18, 2023 #2 Hawawezi kuja
D Daniel Mwinula JF-Expert Member Joined Jul 15, 2012 Posts 302 Reaction score 328 Mar 18, 2023 #3 Tujikite kwa SIMBA YOTE…!!! Kwenye pitch pale Chama ni 1/11. Unawaongeleaje hao 10 waliobaki?? Bila yeye wanaenda vizuri..???
Tujikite kwa SIMBA YOTE…!!! Kwenye pitch pale Chama ni 1/11. Unawaongeleaje hao 10 waliobaki?? Bila yeye wanaenda vizuri..???
Sultan MackJoe Khalifa JF-Expert Member Joined Nov 24, 2022 Posts 6,782 Reaction score 14,148 Mar 18, 2023 #4 Daniel Mwinula said: Tujikite kwa SIMBA YOTE…!!! Kwenye pitch pale Chama ni 1/11. Unawaongeleaje hao 10 waliobaki?? Bila yeye wanaenda vizuri..??? Click to expand... mkuu ungekaa kimya tu kwa hii comment yako unazidi kumpa credit Chama.
Daniel Mwinula said: Tujikite kwa SIMBA YOTE…!!! Kwenye pitch pale Chama ni 1/11. Unawaongeleaje hao 10 waliobaki?? Bila yeye wanaenda vizuri..??? Click to expand... mkuu ungekaa kimya tu kwa hii comment yako unazidi kumpa credit Chama.
Execute JF-Expert Member Joined Sep 21, 2022 Posts 3,000 Reaction score 7,336 Mar 18, 2023 Thread starter #5 Daniel Mwinula said: Tujikite kwa SIMBA YOTE…!!! Kwenye pitch pale Chama ni 1/11. Unawaongeleaje hao 10 waliobaki?? Bila yeye wanaenda vizuri..??? Click to expand... Kwani anacheza peke yake? Hata Messi pamoja na ubora wake bado ili afanikiwe anawahitaji wenzake. Leo kanoute, zimbwe, inonga, onyango na kibu wamekuwa na mchezo safi sana.
Daniel Mwinula said: Tujikite kwa SIMBA YOTE…!!! Kwenye pitch pale Chama ni 1/11. Unawaongeleaje hao 10 waliobaki?? Bila yeye wanaenda vizuri..??? Click to expand... Kwani anacheza peke yake? Hata Messi pamoja na ubora wake bado ili afanikiwe anawahitaji wenzake. Leo kanoute, zimbwe, inonga, onyango na kibu wamekuwa na mchezo safi sana.
Mamba_Mtoni JF-Expert Member Joined Feb 18, 2023 Posts 420 Reaction score 766 Mar 18, 2023 #6 Chama ni jini la Lusaka Linatisha ukuliona waulizeni Horoya+uto fans😆