Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
Vikao vimeamua kuwa No reforms No Election wao wasikilizwe kuhusu nini?Wasikilizwe!
Waliitwa wote lkn wao wakagomaWasikilizwe!
G55 hawajajibiwa hoja zaoWakati wa kampeni ndani ya CHADEMA, kuna baadhi ya watu walikuwa wanawaambia wafuasi wa Lissu kuwa "hakuna kuhama chama" kama wakishindwa uchaguzi ule.
Leo hii lile kundi lililokuwa linawaambia wenzao kuwa hakuna kuhama chama, lenyewe ndiyo limo kwenye harakati za kutaka kuharibu chama.
Mengi yanasemwa lakini ukweli ni kwamba hilo kundi haliwezi kuiyumbisha CHADEMA na lenyewe Siyo watu maalum sana ndani ya CHADEMA.
Hawa watu kwa maneno na matendo yao inaonesha kuwa walikuwa wanafaidika na ruzuku ama kuwepo kwao kwenye nafasi za kiuongozi ndani ya CHADEMA.
Hawakuja kwa kulinda usalama wao.Mnatabia ya kutumia mabaunsa kupiga watu wenye maoni tofautiWaliitwa wote lkn wao wakagoma
Kenge Hadi damu itoke masikioni ndiyo anajua kaumiaWakati wa kampeni ndani ya CHADEMA, kuna baadhi ya watu walikuwa wanawaambia wafuasi wa Lissu kuwa "hakuna kuhama chama" kama wakishindwa uchaguzi ule.
Leo hii lile kundi lililokuwa linawaambia wenzao kuwa hakuna kuhama chama, lenyewe ndiyo limo kwenye harakati za kutaka kuharibu chama.
Mengi yanasemwa lakini ukweli ni kwamba hilo kundi haliwezi kuiyumbisha CHADEMA na lenyewe Siyo watu maalum sana ndani ya CHADEMA.
Hawa watu kwa maneno na matendo yao inaonesha kuwa walikuwa wanafaidika na ruzuku ama kuwepo kwao kwenye nafasi za kiuongozi ndani ya CHADEMA.
Hebu zitaje hizo hoja. Maana Siyo kila neno lisemwalo na mtu ni hoja!!G55 hawajajibiwa hoja zao
Tushatoa ushauri sana, wafukuzeni! Na COVID 19 wale baada ya Bunge kuvunjwa, fukuza! Hiyo ndio demokrasia ambayo Chadema inapigania bwana alaa!!!Wakati wa kampeni ndani ya CHADEMA, kuna baadhi ya watu walikuwa wanawaambia wafuasi wa Lissu kuwa "hakuna kuhama chama" kama wakishindwa uchaguzi ule.