Huwezi kumpa uhakika huo. Hebu Angalia EPL ilivyokuwa tamu Msimu huu.
Hadi dkk za mwisho Bingwa hatabiriki. LFC alivyotangulia kupata goli kwa Mbweha na city kutangulia kufungwa wengi waliamini game limekwisha.
Nasema, liver kukubali kufungwa na city ulikuwa mwanzo mbaya kwa klop.
So, Msimu ujao utakuwa mtamu zaidi. Kumbuka, United hawatakubali utoto huu. Chelsea naye atajipanga. Spurs Ni wa kawaida. Wolves hatakuwa na makali haya na sio ajabu akawa miongoni kushuka daraja.
Yote Tisa, Ligi imeongezeka ubora na Utamu. Angalia EPL imetoa timu 4 kwenye fainali mbili( CL na Europa).
Tukutane Msimu ujao. Ciao!
Kwanza kabisa ukienda kwa jicho la hatua tatu mbele, LA ndani kabisaa..
Utakubaliana nami pep katengeneza wigo mkubwa mno na wenye nguvu!
Ni liver pekee atakaendelea kumchallenge pep kiuwezo, tactical, pressing na mengine mengi lakini pep ile ligi atatawala sana na bado anaingia sokoni! tukutane msimu ujao kisha utaniambia vizuri!
Kuhusu Man Utd naona kwa mtu ambaye tupo serious hawezi kuwapa credits hata kidogo!
Tottenham, arsenal, Chelsea itawachukua muda mrefu kama sio msimu miwili mbele kutengeneza kikosi Kama cha pep! Man Utd ndo kabisaa! (kumbuka pep alifumua kikosi cha kwanza chote)
Mimi binafsi Sina shida na pep kwenye epl atachukua sana tuu.
Mfupa kwangu aliobakiza ni UEFA tuu na ndo maana anaingia tena sokoni coz anajua kile kikosi chake kina nguvu kubwa tayari epl
Ila kwa UEFA bado sanaaa.!
Kuhusu kuingiza team nne fainali ligi epl
Huwa ni suala la mipango pale Team zikiwa zinatoshana nguvu yaani ligi nzima na ndo inaleta changamoto na changamoto inazaa uwezo! Uwezo unazaa ubora! La liga hii kitu walishafnya Sana tuu so epl imeanza ku improve..