Waliosoma Aga Khan Mzizima Secondary School

COPPER

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2012
Posts
2,368
Reaction score
1,488
Wakuu salaam. Ninapenda sana kujua taarifa za wanafunzi wa Mzizima Secondary School tuliosoma miaka ya 1980's enzi za waalimu kama Mr Juma, Mr Acharya, Mrs D'Souza, Mama Mngodo, Mrs Bagalkote n.k.

Baadhi ya wanafunzi ninao wakumbuka ni kama Joseph Mgaya, Julius Tandau, John Mwingira, Joseph Kusaga, Saada El Maamry, Karim Fairom, Thomas Shempemba, Alex Shaba, Charles Wambura, Jesse Malongo, Mwimike Mbangula, Mzee Nyamka, Maendeleo Nyamka, Lazaro, Mwanaisha Shomari, Justine Kivambe, Yusuf Kisome, Salim Kajiru, Almasi na Selemani Kimenya nk.
Kuna wengine wengi nimewasahau.
Nitashukuru tukiweza kuwasiliana hapa JF kujikumbusha yaliyopita ila pia kujipanga kwa lolote ambalo litaonekana lina tija kwetu.
 
...wanapatikana 'twitter' hao.....humu JF wapo wagumu tu....:shut-mouth:
 
Mkuu wangu COPPER, mie nashangazwa na kitu kimoja tu na hii shule! Wakati sie tunasoma secondary, kati kati ya miaka ya 90, Mzizima walikuwa wanatuburuza ile mbaya hapa Dar!! Yaani jamaa walikuwa hawafai, walikuwa wanapiga paper kwa sifa! Nakumbuka kulikuwa na mtoto mmoja wa kidosi(msichana) alikuwa kama fido dido aisee!! Lakini huyu fidodido alikuwa mwanaharamu.....alituburuza kwenye mock na national, bila kujisikia haya!!

Sincerly, nilizani hii shule siku hizi haipo! Mdogo wangu akanihakikishia kwamba bado ipo! Pamoja na kunielekeza hadi physical address ya pale ilipo(ilibidi afanye hivi coz' niliamini haifahamu) lakini bado sikutaka kuamini kabisa!! Nikaamua siku moja niingie NECTA website ili niitafute kwenye matokeo! NIKAIKUTA! Sio siri, HADI LEO SIJAAMINI! Zile One za Kupenda sifa hazipo tena! Hata hizo Division Two, ni adimu! Miongoni mwa wakali wao 2012(form IV results) wana Three! Matokeo yao 2012 haya hapa: DIV-I=0, II=2, III=2, IV=20, FLD=6 !!! Wamekumbwa na nini hawa watu?! Hii sio Mzizima ninayoifahamu mimi....ile miaka ya 90(especially mid 1990s), hapa DSM, piga ua, Mzizima inakuwa Top zingine ndo zinafuata!
 
Last edited by a moderator:

Kama imefikia hatua hiyo basi inasikitisha sana, Mzizizma ilikuwa ni kali sana kwa miaka mingi. Natamani kukutana na wenzangu ili tujikumbushe yaliyopita na pia hata kuanzisha social group.
 
the only place where u can possibly find long time friends is just Facebook! Kama una facebook account, je ume-included sehemu uliyosma na mwaka?! Coz' kama unaweka shule na mwaka, basi wale waliomo fb from the same school kwa huo mwaka watakuwa displayed!
 
hapa ni ugumu kwa kwenda mbele hamna cha st wala seminary wacheki mitandao ya wabana pua FB NA TWITTER
 
Back
Top Bottom