Wakuu salaam. Ninapenda sana kujua taarifa za wanafunzi wa Mzizima Secondary School tuliosoma miaka ya 1980's enzi za waalimu kama Mr Juma, Mr Acharya, Mrs D'Souza, Mama Mngodo, Mrs Bagalkote n.k.
Baadhi ya wanafunzi ninao wakumbuka ni kama Joseph Mgaya, Julius Tandau, John Mwingira, Joseph Kusaga, Saada El Maamry, Karim Fairom, Thomas Shempemba, Alex Shaba, Charles Wambura, Jesse Malongo, Mwimike Mbangula, Mzee Nyamka, Maendeleo Nyamka, Lazaro, Mwanaisha Shomari, Justine Kivambe, Yusuf Kisome, Salim Kajiru, Almasi na Selemani Kimenya nk.
Kuna wengine wengi nimewasahau.
Nitashukuru tukiweza kuwasiliana hapa JF kujikumbusha yaliyopita ila pia kujipanga kwa lolote ambalo litaonekana lina tija kwetu.