Waliosoma chang'ombe primary school mpo?

Dah nasikia Mwl kulwa yule mtaalam wa hesabu na mashoto alikufa macho sababu ya fegi
 
Hapa ni LY 1986 enzi za mwalimu Msaki kama mwalimu mkuu.palikuwa na mwl hizza Sayansi na Hesabu,Mwalimu SOBO kiswahili (yupo mpaka leo hii chang'ombe) , Mwalimu Matemu sikumbuki somo gani,Mwalimu Msongole Geog...wengine nimewasahau
 
mie nilisoma chambuzi p/s tukumbushane
mwl Kirundi
.....
.....
.....
mwl harakaharaka (mr and Mrs )

......

......
 
Dah umenikumbsha mbali ila 2po mm namkmbka mwalimu mussa aka manywele ila nakmbka alikuwa ana2fndsha english language
 
Wengine kina matanyanga Josephine Mahiga
 

Wiki ijayo ntaenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…