[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Umenikumbusha Prof Mamilo[emoji16][emoji16][emoji16]mzee yule kichaa sana
Mkuu...
Wa kilimo tupo hapa [emoji30][emoji30][emoji30]View attachment 999287
Ni kweli uko Ushirombo? Mtaa wa Majengo? Karibu na nyumba ya Mkuu wa Wilaya? Naomba tuongee jamboMkuu...
Karibu sana hapa Ushirombo, kata ya Katente, mtaa wa Majengo [emoji30][emoji30][emoji30][emoji30]
Ma Prof wa SUA hakuna mzima, ni bora ukafundishwa na Dr sio prof,utajuta kusoma hapo.
Sent using Jamii Forums mobile app
haahahahha
Nikweli kabisa mkuu, nipo hapa nyumba ya kadhaa baada ya Green ViewNi kweli uko Ushirombo? Mtaa wa Majengo? Karibu na nyumba ya Mkuu wa Wilaya? Naomba tuongee jambo
Sent using Jamii Forums mobile app
πππ.Wajinga sana hao wazee, kuna kozi moja rahisi sana ila kwa vile inafundishwa na vichaa,niliichukia hadi hivi sasa, Organic Farming, Kuna Prof. Mamilo, Prof. Sibuga, Dr. Kudra na Prof. Mwatawala....!!! Sirudi tena SUA....!!! Acha waende wasiojua.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nikweli kabisa mkuu, nipo hapa nyumba ya kadhaa baada ya Green View
Karibu
Kwanini manengelo kuna ukweli hapa mama?SUA ni miongoni mwa vyuo Real and Practical,unaweza kutoka kimaisha kama ukiamua kuwa serious
Sent using Jamii Forums mobile app
Shukran kama ndio hivyo, kuna kipind huko badae ase nitataka tubonge kidogoNadhan kuna ukweli mzee baba
Shukran kama ndio hivyo, kuna kipind huko badae ase nitataka tubonge kidogo
Rwegasira alikujibu nini mkuu?Hy demo ya Zabibu hatimaye imeandaliwa....!! Prof. Mamilo alikuwa anapinga sana kuwa hali ya hewa ya moro haifai kwa Zabibu, anyway...fact for fact.
Nilimuulizaga Dr. Rwegasira installation ya hizo screen house za pale Horticulture Unit, alichonijibu ndio kilinifanya kuwaza kitu Kingine cha kufanya, na nikaamua kumaliza tu degree lakini nikaapa sitalima kamwe, labda mashamba ya miti.
Sent using Jamii Forums mobile app
SUA wanatoa applied knowledge tofauti na vyuo vingi wanatoa pure knowledgeSUA ni miongoni mwa vyuo Real and Practical,unaweza kutoka kimaisha kama ukiamua kuwa serious
Sent using Jamii Forums mobile app
πππππππππππππππππππππUkweli nyie mabwana shamba mnazingua sana yaani mnazidiwa mpaka na wakulima sijui mnasoma mambo gani huko SuA
MIMI NI MKULIMA.NILICHOANDIKA NDOHALI HALISI. HUKU VIJIJINI UONE KAMA KUNA TOFAUTI KATI SHAMBA LA WAKULIMA WADOGO KAMA MIMI NA LA AFISA UGANI. UONE KAMA KUNA TOFAUTI KATI YA KIJIJICHENYE BWANA SHAMBA NA AMBACHO HAKINA.