Waliosoma Ifunda TTC kuanzia mwaka 1999-2001 mwaikumbuka Kilungu

Waliosoma Ifunda TTC kuanzia mwaka 1999-2001 mwaikumbuka Kilungu

kabila01

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2009
Posts
4,235
Reaction score
4,964
Kwa wale waliosoma chuo cha ualimu ifunda kuanzia mwaka 1999 hadi 2000 mnaikumbuka mitaa kama Banda Beach Kibaoni mnadani kwenye Kitimoto? mnaikumbuka Kilungu kwenye misosi dah its so long time watu wangu
 
Duh umenikumbusha mbali, kwenye mikaratusi na Mwilapa wenu ha ha ha ha ha
 
Back
Top Bottom