kabila01 JF-Expert Member Joined Apr 21, 2009 Posts 4,235 Reaction score 4,964 May 3, 2009 #1 Kwa wale waliosoma chuo cha ualimu ifunda kuanzia mwaka 1999 hadi 2000 mnaikumbuka mitaa kama Banda Beach Kibaoni mnadani kwenye Kitimoto? mnaikumbuka Kilungu kwenye misosi dah its so long time watu wangu
Kwa wale waliosoma chuo cha ualimu ifunda kuanzia mwaka 1999 hadi 2000 mnaikumbuka mitaa kama Banda Beach Kibaoni mnadani kwenye Kitimoto? mnaikumbuka Kilungu kwenye misosi dah its so long time watu wangu
N-handsome JF-Expert Member Joined Jan 23, 2008 Posts 2,453 Reaction score 560 May 3, 2009 #2 Duh umenikumbusha mbali, kwenye mikaratusi na Mwilapa wenu ha ha ha ha ha