Waliosoma Jitegemee Secondary School hebu ingieni hapa Tusalimiane

We utakua ulikutana na afande tall,maana yeye na kihimbi ndio walikua wavuta sigara,nadhni nilikutangulia mwka
 
Zamani raha sana Mkuu! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116]
 
[emoji3][emoji3][emoji3] hatari sana hii. Kuna watu ni balaa kwelikweli
 
Orando kuna siku jamaa walizingua kufanya usafi halafu fom6 jamaa ticha mmoja cuthbet akaenda kushtaki,jamaa orando akatoa darasa zima mbele ya ofic za get kutoka nje,alipigisha mboko za hatari akisaidiana na tall.hii siku hatare
Cuthbert ticher wa Hist one πŸƒ
 
Haha skirt fupi me nilikuwa naingia getini saa 11 afu mkisi nilikuwa sivai basi tafrani kuwahi kabla matrons hawajafika ilikuwa kawaida sana
 
Siku hizi kuna muhuni anaitwa ARANDO anawazingua sana madogo
Hahaha, huyu jamaa alinifungia kwenye kiofisi chao pale getini dah sitokuja kusahau! Tangu siku hiyo nikawa navaa suruali bwanga yenye turn up kubwa kabisa!
 
Kitu ninachokumbuka mm kuna siku mshikaj aliotewa darasan mida ya jion hv na demu wake wote A-level, jamaa amemlalia demu huku bibie anamsuka jamaa kilichotokea hapo walichukuliwa mpk getini pale wakawekewa Benchi wakaambiwa walale vilevile wafanye walivyokuwa wanafanya huku wanafunz wakiwa wanatoka wanaenda home. Hii wanaokumbuka 2003 hv

Sent using Jamii Forums mobile app
 
This school belongs to me......Jitegemee ndio imebadilisha maisha yangu. Naipenda sana na siku zote itakuwa moyoni mwangu..Nimekula sana joro na wanangu ambao poketi mane zetu zilikuwa chini ya 1000 kwa siku..Kuna mwamba mmoja kuna siku amechelewa shule, pale getini akakamatwa na Afande K...Jamaa akajitetea anaumwa ARCHIMEDES PRINCIPLES πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ . Basi afande K alivyokuwa haelewi chochote akamwambia KIMBIA HUKO usije ukanifia hapa.....I miss those days, Sir mtoka mbali na madam shaluwa.. Popote walipo knowledge yao imenipa maisha..!
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Siku hizi limebakia jina tu.
 
Hahaha halafu sasa hivi unapiga kazi kitengo cha pesa. Lazima hati chafu ziweke makazi hapo
 
Jitegemee (2001 pre form one) 2002-2005. Headmaster F.Masawe, Afande Ismail, Wajadi, Bruno master, Mama Shalua, mzee Bwenge Afande Mkisi hahahahhh. Daaah those days. Kule canten mama Koku
Naam hao wote walikuwa waalim wangu.

Hakutakuwa na Jiteute kama ya 1996. Full vipaji, full taalum, full uchizi

Waalimu walitukoma sana hasa Bashaka
 
Wajadi amefariki mwaka jana kama sikosei
 
Naona watoto wa jite mnajiachia wenyewe πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Imeshuka kitaaluma mpaka aibu.

Je sisi tuliosoma pale tuna mchango gani kuipaisha iwe JITEUTE tena?
Hili ndio swala kuu la kujiuliza aisee...Natamani ata siku moja nikipata nafasi nikapigishe pindi la ECONOMICS na GEOGRAPHY kwa advanced level japo sio mwalimu ila naamini nitakuwa nimechangia kitu kikubwa sana..
 
Ndiyo nani huyo?
Kwa wale walosoma miaka ya tisini mwishoni na wale tulokuwa pale miaka ya 2000 - 2007 wanamfahamu vizuri....

Wajadi alikuwa mmoja wa walimu waandamizi wa somo la Book keeping na Commerce hasa book keeping...Pia alikuwa miongoni mwa Ma-patron na walimu waliounda kamati ya nidhamu ya shule...Kheri uchezee bakora za Afande Bruno kuliko za huyu jamaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…