waliosoma Kibaha special school mpoo?

ngony

Senior Member
Joined
Feb 7, 2012
Posts
153
Reaction score
17
waliosoma kibaha mpoo? hasa wale form 6 leavers wa 2011! hata na wengne pia
 
unamaansha mwka wa sir.anderson.!!! tehtehteh ilikua burudan xana zle pind.. Mr.mgna pemben pale n' mwna majala.!!!
 
alaa kumbe! yah za anderson a.k.a mzee wa 'in general'. hebu tujikumbushe kidogo burudani zake!
 
nani amewah kupata kashkash za shashura na kesh baba!
 
2po,siku hiz sio shashura,ni nchimbi,na uzi ni uleule
 
Mmenikumbusha mbali sana,,,mapisi, chapati za bill, mademu wa FDC,kuzamia harusi bertil merlin ,kukimbizwa na kash baba mkienda kuangalia mpira sugar,mikwara ya kaselenge,ukaguzi wa usafi kila ijumaaa,wimbo wa shule ''precious kibaha'',mademu wa cafe,duka la mpemba,yaani missing those days.
 

Msela ww ulikuwa pale mwaka gani? au ulikuwepo wakati kuku wameshakwisha?
 

hahaha mademu wa cafe sio kina Angel, Zuwena,Bahati nk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…