Waliosoma Makerere, Mbarara au chuo chochote cha afya (Uganda)

Habar...Nilikua naomba mawasiliano ya mtu yoyote aliyesoma au anayesoma (MD) katika chuo chochote cha afya (Uganda) ilikupata a,b,c
Ninao ila wako huko huko Uganda

USSR
 
Habar...Nilikua naomba mawasiliano ya mtu yoyote aliyesoma au anayesoma (MD) katika chuo chochote cha afya (Uganda) ilikupata a,b,c
Njoo inbox,nilisoma pale Makerere University "As We Build For The Future" Bachelor degree yangu,washkaji wa Medicine walikuwa wanasomea pale Mulago Hospital ndiko madarasa yao yalikokuwa mwendo wa dakika 10 kwa kutembea kwa miguu lakini kulala tulilala nao mabweni ya Makerere,sasa hivi ni Madaktari Hospitali mbalimbali nchini.Vyuo vingine sina taarifa zao
 
Nmekuchek mkuu
 
Degree ya udaktari ya makerere ina heshima kubwa kuliko degree ya udaktari ya Muhas.

Makerere ni brand kubwa sana na ndio best university kwa upande wa east africa.

Ni rahisi kupata kazi nje ya nchi ukiwa na MD ya makerere kuliko ukiwa na MD ya Muhas ama udom
 
Kweli kabisa mkuu
 
Back
Top Bottom