mac muga 98
Member
- May 14, 2022
- 84
- 95
Ninao ila wako huko huko UgandaHabar...Nilikua naomba mawasiliano ya mtu yoyote aliyesoma au anayesoma (MD) katika chuo chochote cha afya (Uganda) ilikupata a,b,c
Aaaah sawa contact zao lakin si unazo maana nlikua na shida kidogo kuna maswali nilikua nataka niwaulize kuhusu admissionNinao ila wako huko huko uganda
USSR
Ada ni ndogo kwa nnavyosikiaPass mark zimegoma mkuu
Njoo inbox,nilisoma pale Makerere University "As We Build For The Future" Bachelor degree yangu,washkaji wa Medicine walikuwa wanasomea pale Mulago Hospital ndiko madarasa yao yalikokuwa mwendo wa dakika 10 kwa kutembea kwa miguu lakini kulala tulilala nao mabweni ya Makerere,sasa hivi ni Madaktari Hospitali mbalimbali nchini.Vyuo vingine sina taarifa zaoHabar...Nilikua naomba mawasiliano ya mtu yoyote aliyesoma au anayesoma (MD) katika chuo chochote cha afya (Uganda) ilikupata a,b,c
Nmekuchek mkuuNjoo inbox,nilisoma pale Makerere University "As We Build For The Future" Bachelor degree yangu,washkaji wa Medicine walikuwa wanasomea pale Mulago Hospital ndiko madarasa yao yalikokuwa mwendo wa dakika 10 kwa kutembea kwa miguu lakini kulala tulilala nao mabweni ya Makerere,sasa hivi ni Madaktari Hospitali mbalimbali nchini.Vyuo vingine sina taarifa zao
NimeshakujibuNmekuchek mkuu
Shukran bossNimeshakujibu
AdaMarks za necta zimekugomea mkuu?
Sasa kule si utakua foreigner mkuu,ada si itakua kubwa sana au?
Uganda na East African student ada ni sawaView attachment Mak-Undergraduate-Fees-Structure-2020-21-ACADEMIC-YEAR.pdfSasa kule si utakua foreigner mkuu,ada si itakua kubwa sana au?
Kweli kabisa mkuuDegree ya udaktari ya makerere ina heshima kubwa kuliko degree ya udaktari ya Muhas.
Makerere ni brand kubwa sana na ndio best university kwa upande wa east africa.
Ni rahisi kupata kazi nje ya nchi ukiwa na MD ya makerere kuliko ukiwa na MD ya Muhas ama udom
Ulifanikiwa mkuu,Habari.
Nilikuwa naomba mawasiliano ya mtu yeyote aliyesoma au anayesoma (MD) katika chuo chochote cha afya (Uganda) ilikupata a,b,c
BadoUlifanikiwa mkuu,