VPN USED2020OCTOBER28
JF-Expert Member
- Oct 27, 2011
- 1,505
- 674
Njooni tupeane mawili matatu hapa jamani, nimepamis sana ruco!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ICT pale kuna ticha mmoja hivi mlemavu anaitwa Kitinya anawazinguaga sana jamaa aisee, watu walipanga kumroga sijui iliishiaga wapi
ict pale kuna ticha mmoja hivi mlemavu anaitwa kitinya anawazinguaga sana jamaa aisee, watu walipanga kumroga sijui iliishiaga wapi
hapana chezea prof komba ww, zile tym zake na swaga za lecture nimemmiss sana mzee yle
kiko nchi gani hicho chuo?
iringa ..kilikuwa chuo cha benki zamani kabla ya kununuliwa na saut ina mandhari nzuri sana
university corner