Wanawake waliosoma wengi hushindwa kuolewa na hawajui mapenzi ukilinganisha na wanawake ambao hawajasoma sana (Uwongo).
(Ukweli) Utafiti wa karibuni unaonesha kwamba wanawake waliosoma sasa wana uwezekano mkubwa wa kuolewa ukilinganisha na wale ambao hawajasoma. Na pia wanauwezo wa kuihimili mishindo ya ndoa. Si hivyo tuu ila wanajua maana ya kupenda waume zao. Wanayajua maisha bora, uchumi wa familia na zaidi sana wanauwezo wa kulea familia zao vizuri.
Waweza olewa na zuzu bure kisa kuolewa!!ishu siyo kuolewa, wangapi wanaolewa na nan anawaoa?
Waweza olewa na zuzu bure kisa kuolewa!!
Uko sahihi but inapendeza zaidi km mtakuwa na uwiano mzuri wa elimu na huyo mume ili nafasi ya mume katika familia ionekane!kwan mara nyingi ktk baadhi ya ndoa mwanaume anapokuwa na elimu ndogo kuliko mke inatokeaga mke ndio anakuwa na last say na nafasi ya mme inakuwa ndogo ktk maamuzi yoyote ndani ya nyumba!Wanawake waliosoma wengi hushindwa kuolewa na hawajui mapenzi ukilinganisha na wanawake ambao hawajasoma sana (Uwongo).
(Ukweli) Utafiti wa karibuni unaonesha kwamba wanawake waliosoma sasa wana uwezekano mkubwa wa kuolewa ukilinganisha na wale ambao hawajasoma. Na pia wanauwezo wa kuihimili mishindo ya ndoa. Si hivyo tuu ila wanajua maana ya kupenda waume zao. Wanayajua maisha bora, uchumi wa familia na zaidi sana wanauwezo wa kulea familia zao vizuri.
Wanawake waliosoma wengi hushindwa kuolewa na hawajui mapenzi ukilinganisha na wanawake ambao hawajasoma sana (Uwongo).
(Ukweli) Utafiti wa karibuni unaonesha kwamba wanawake waliosoma sasa wana uwezekano mkubwa wa kuolewa ukilinganisha na wale ambao hawajasoma. Na pia wanauwezo wa kuihimili mishindo ya ndoa. Si hivyo tuu ila wanajua maana ya kupenda waume zao. Wanayajua maisha bora, uchumi wa familia na zaidi sana wanauwezo wa kulea familia zao vizuri.
Tabia haina elimu bana!
Kuna mdada namjua ana Master tena inahusiana na mambo ya kusocialize lakini mama ashaachika mara 4, mbili kafumaniwa. Nyambaaaf zake!
Faza wa kambonani kakufundisha matusi?
Tabia haina elimu bana!
Kuna mdada namjua ana Master tena inahusiana na mambo ya kusocialize lakini mama ashaachika mara 4, mbili kafumaniwa. Nyambaaaf zake!
Mkuu mama alikuwa na tabia mbaya, yaani ukilembea neno kama sio type yake basi anauza CD kwa waifu, hili jimama yaani lina kila tabia mbovu, kuna siku nililitania tu , umependezaa! liliangusha msala ikabidi jibaba niombe yaishe tu lolna wewe huku omba?????