waliosoma sayansi ndio waliofeli tu?

philosophy

Senior Member
Joined
Nov 11, 2012
Posts
104
Reaction score
42
kwa uhunguzi wangu mdogo wa matokeo haya mapya, umenipa picha fulani baada ya kufuatilia kwa umakini na kugundua kuwa asilimia kubwa ya matokeo yaliyobadirika ni kwa wanafunzi waliosoma masomo ya sayansi. kwa upandie wa masomo ya sanaa matokeo hayakubadilika sana. hii inanipa wasi wasi wakufikiri kuwa yaliyobadilishwa ni matokeo ya sayansi tu na wala sio masomo ya sanaa. hii kweli ni haki? kwanini mambo kama haya yanatokea katika nchi hii na sisi bado tupo kimya? tunakoelekea sio tubadilike watanzania, hasa, viongozi wa serikali hacheni ulaghai. kwa kufanya hivi mnaliangamiza taifa kabisa na kuwaandalia mianya watoto wenu wanaopata elimu bora nje ya nchi hiii....
 
sio kweli . coz nna madogo 2 , mmoja alikua anasoma sayansi na alikua amepata 28 sasa ana 27 na mwingne alikua arts ana alikua na 27 sasa ana 22. kilichofanyika ni standardization watu wengi hawaelewi hii kitu. So Necta wapo very fair
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…