Waliosoma shule za Msingi miaka ya 1980 na kurudi nyuma mpaka 1961.Hizi ndo shule mlizo soma

Waliosoma shule za Msingi miaka ya 1980 na kurudi nyuma mpaka 1961.Hizi ndo shule mlizo soma

NYENJENKURU

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2011
Posts
1,066
Reaction score
294
Ma Prof,Dk, Wachumi,Wahandisi,Mawaziri ,Makatibu wakuu n.k mnazikumbuka shule mlizo soma zinafananaje?Mlizosoma wengi wenu ziko hivi.

4.JPG5.JPG
 
Attachments

  • DSC00226.JPG
    DSC00226.JPG
    954.9 KB · Views: 58
mimi nilisoma shule ilikuwa full mpaka vioo kwenye madirisha hata za kata za siku hizi hazioni ndani.
 
mimi nilisoma shule ilikuwa full mpaka vioo kwenye madirisha hata za kata za siku hizi hazioni ndani.
Kaione leo hii tarehe 26/10/2011 ikoje?Je madrisha yapo?Utashangaa sana halafu ndo wanasema ni karne ya sayansi na teknolojia..tehh teh
 
Cha maana ni elimu aliyoipata mtu na anaitumiaje elimu hiyo kusaidia maendeleo ya nchi yetu.
 
Mkuu,
Hiyo uliyoiweka mbona ni nzuri sana. Ziko nyingine zimechoka kiukweli ... kama hii hapa:

DSC01747a.jpg

DSC01742a.jpg

DSC01746a.jpg

Hayo ndo mambo ya sayansi na teknolojia.
 
Ma Prof,Dk, Wachumi,Wahandisi,Mawaziri ,Makatibu wakuu n.k mnazikumbuka shule mlizo soma zinafananaje?Mlizosoma wengi wenu ziko hivi.

View attachment 39980View attachment 39982
Siyo kweli, shule nyingi za wakati huo zilikuwa na majengo mazuri maeneo ya wazi kama vile viwanja vya michezo aina zote na vifaa vyote muhimu kwa ajili ya mwanafunzi.Hivyo hizo shule ulizobandika hapa ni za miaka hii hovyo kabisa!
 
Kwenye blue ndo zilivyo kwa sasa..Leta ya enzi hizo ambayo iko chini ya Halmashauri ya Wilaya bado ina madirisha na meza iliyokuwa inatumika miaka ya hata 1982 tuone ikoje.
 
Bora Hizo za mwaka 47, kuliko za leo, angalia Startv kuna shule moja Iringa utachoka!
 
ndg umemikumbausha mbali sana...enzi hizo huwezi kutofautisha kati ya mlango na dirisha...........pia tlikuwa tkikaa chini unatoka shule umechafuka na hauogi.kesho yake unaenda hivyohivyo
 
Serikali yetu inaumwa kwa kweli. Shule niliyosoma kidogo wamerekebisha. Wamejitahidi walau kupiga rangi. Japo sijauliza ila lazma itakuwa ni msaada wala sio fungu kutoka serikalini.
 
Serikali yetu inaumwa kwa kweli. Shule niliyosoma kidogo wamerekebisha. Wamejitahidi walau kupiga rangi. Japo sijauliza ila lazma itakuwa ni msaada wala sio fungu kutoka serikalini.

huna lolote we pimbi, nenda kaoge.
 
Ila mbona mmeweka shule za msingi elimu ya kitoto? Maana shule za msingi hawana huitaji mkubwa saaana na elimu ni daraja la kumuandaa tu mtoto na kumchangamsha,ila hivyo vyuo walivyosoma hemu viwekeni humu hayo majengo na miundombinu mingine ilivyo.
 
Walio soma hizo shule hawawezi kuzikumbuka hata chembe kwani watoto wao ama wa ndugu zao hawana taimu nashule zile.Haya ni baadhi tu ya side effect za liberalization of education,tuliporuhusu elimu huria tulisahau kuwa hata shule za umma zilipasaswa kuboreshwa kuendana na wakati na technologia zilizopo,shule nyingi zimebaki za kuombea kura wakati wa kampeni("nitaweka madirisha na milango mkinichagua")
 
Ila mbona mmeweka shule za msingi elimu ya kitoto? Maana shule za msingi hawana huitaji mkubwa saaana na elimu ni daraja la kumuandaa tu mtoto na kumchangamsha,ila hivyo vyuo walivyosoma hemu viwekeni humu hayo majengo na miundombinu mingine ilivyo.
chuo cha afya hicho ndoa maabara yake..Umeona eeeehhh.
7.JPG
 
Back
Top Bottom