Waliosoma uyui s/m kuna msiba... Mwalimu wa zamani sana tangu mwaka 1966 afariki

Malyenge

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2012
Posts
6,658
Reaction score
3,659
Wakuu napenda kutoa taarifa kwa waliosoma shule ya msingi Uyui iliyopo Manispaa ya Tabora karibu na kijiji cha Kalumwa au Kakulungu ama kakola kwamba mwalimu wa siku nyingi sana amefariki dunia.
Mwalimu huyu anaitwa Mwalimu Kishiki. Aliwahi kufundisha shule hiyo ya msingi Uyui kuanzai mwaka 1975 mpaka mwaka 1984. Na baadaye alihamia mjini Tabora mpaka alipostaafu. Pialiwahi kuvuma sana miaka hiyo pamoja na waalimu wafuatao: malimu Mgongo, Mwalimu Udohya, Mwalimu Mzumbi, Mwalimu Chappa, Mwalimu Kamiliwe, Mwalimu Siyeru na wengineo.
Tuungane na wafiwa katika msiba huu mzito.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…