Waliosomea fani tofauti na ualimu ndo walimu wa shule binafsi

Msigazi Mkulu

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2013
Posts
4,160
Reaction score
3,368
Naomba wizara ya elimu iwachukulie hatua za kisheria wamiliki wa shule binafsi na vyuo vya ualimu kwa kuajiri watu ambao hawajasomea taaluma ya ualimu kuwa walimu na wakufunzi wa vyuo vya ualimu.

Kitendo hiki kinazidi kinachangia utolewaji wa elimu isiyo bora. Ni aibu kweli kweli unakuta watu wamesomea sociology, Political science, law, engineering n.k eti ndo walimu.
 
Sasa kama wanaelewa siwanafundisha tu,kumbuka tunajifunza content na sio teaching methodology ambayo inatofautisha fani nyingine na ualimu.na hizo shule ndo zinafaulisha.tafakari.
 
Sasa kama wanaelewa siwanafundisha tu,kumbuka tunajifunza content na sio teaching methodology ambayo inatofautisha fani nyingine na ualimu.na hizo shule ndo zinafaulisha.tafakari.

Kwahyo basi hii kozi ya Education ifutwe kama kila mmoja ana uwezo wa kufundisha.
 
kwanza kwa mfumo wa Tanzania watu waliosoma kozi nyingine tofauti na elimu, huwa wamefaulu sana kidato cha sita kuliko hao walioenda kusomea elimu. alafu kumbuka mtu aliyesoma political science ni mzuri sana kwenye civics na history kuliko wewe...
 
Akili zako ni mfu unafikri aliyeweka coz ya ualimu alikosea kwenye ualimu kuna kozi nyingi sana zinazokufanya uwe mwalimu.

BTW hao waliosoma kozi zingine na kwenda kufundisha ndo hao hao waliokuwa wanaponda ualimu.
 
Kusoma kozi nyingine halafu mwisho unaenda kuwa mwalimu sijui huwa ina maanisha nini?
 
kwanza kwa mfumo wa Tanzania watu waliosoma kozi nyingine tofauti na elimu, huwa wamefaulu sana kidato cha sita kuliko hao walioenda kusomea elimu. alafu kumbuka mtu aliyesoma political science ni mzuri sana kwenye civics na history kuliko wewe...

Acha uongo wewe' nenda pale University of Dar es salaam kaombe matokeo ya form six kwa wote wanaosoma degree ya education' halafu urudi tena hapa jukwaani..
 
mbona watu wana dision2 pcb na wamepangwa ualimu
 
Acha uongo wewe' nenda pale University of Dar es salaam kaombe matokeo ya form six kwa wote wanaosoma degree ya education' halafu urudi tena hapa jukwaani..

me nimesoma huko UDSM mwaka 2009-2012, watu waloifaulu div one ya 3-5 (arts) majority walienda kusoma LAW, waliopata dv one ya 5-6 majority walienda kusoma PSPA, DIV one ya 7-8 majority walienda kusoma Sociology na kozi nyingine. waliopata div one ya 9 na two walienda education. ninachokisema ninakijua
 
Sasa Div two n ufaulu mdogo?
 
kwanza kwa mfumo wa Tanzania watu waliosoma kozi nyingine tofauti na elimu, huwa wamefaulu sana kidato cha sita kuliko hao walioenda kusomea elimu. alafu kumbuka mtu aliyesoma political science ni mzuri sana kwenye civics na history kuliko wewe...

mia mia mkuuu!
Ukishamaliza shahada wewe ni mwalimu na ndo maana wanabaki chuo kuwa tutorial assistant,lecturer ,Dr na Prof.

Wanaosomea ualimu wengi ni vilaza na ukiwauliza wanasema wanazuga tu ila watabadilsha fani.

Hao wa Sheria ,Accountin,B.com akimfundisha dent wa form 6 lazma apate A kwenye somo lake!

Walimu wa tanzania ni kama kondom ya sisiem,wanasmamia chaguzi na vijiposho,uchaguzi ukiisha tupa kuleee!
 
ha ha ha umeona pro-education wanavyong'aka? hawataki kuambiwa ukweli. wanaosoma education wengi wao hawakufaulu vema
 
Basi serikali ifanye ualimu kuwa compulsory kwa kila mtu. Kama ilivyokuwa j.k.t zamani kwa mujibu wa sheria i mean ukisoma fani nyingine usome na ualimu.kuna mataifa mengine ya ulaya wanafanya hivyo.

Ni vibaya kuwaingiza watu kwenye fani wasio walimu.
 
Narudi tena acheni dharau nyie mliosoma kozi nyingine .mkikosa ajira mnakuja kujishikiza kwenye ualimu.tunachoangalia ni upatikanaji wa ajira.

Na sio prestige kuwa eti umesoma kozi nzuri sana na una akili sana wakati unasugua soli mtaani.na ukiona soli zinaisha unajishikiza kwenye ualimu.

Na huku ukiwaponda walimu.eti wanaofundishwa na wana-sociology wanafaulu inawezekana maana wana akili zao na wanajitafutia wenyewe materials .nasema komeni kuwadharau walimu.mnatafuta laana maana mwalumu kila kitu.sitaki niandike sana nitaweka uzi hapa maana vitendo vya dharau vinazidi.
 
Watu waliosoma field zingne tofauti na ualimu ndo wako deep uki compare na walimu hiyo iko wazi! nikupe mfano cc akat tuko 4m 6 tulikuwa tunapigiwa adv. mathematics na jamaa alikuwa anasoma BAF Mzumbe university na Phy alikuwa anapiga graduate wa Mining angineering
 
Kusoma kozi nyingine halafu mwisho unaenda kuwa mwalimu sijui huwa ina maanisha nini?
 
Kusoma kozi nyingine halafu mwisho unaenda kuwa mwalimu sijui huwa ina maanisha nini?
 
kwanza kwa mfumo wa Tanzania watu waliosoma kozi nyingine tofauti na elimu, huwa wamefaulu sana kidato cha sita kuliko hao walioenda kusomea elimu. alafu kumbuka mtu aliyesoma political science ni mzuri sana kwenye civics na history kuliko wewe...

Ww ---- kweli ndugu yangu unaweza ukawa unajua sana hesabu na huenda ikawa ulkuwa TO ktk hesabu lakini usiweze kufundsha na watu wakaelewa na ndio maana u suppose to go college for more details eg techniques and way eti anajua anajua yy na hataweza kumjuza mwngne
 
Sasa kama wanaelewa siwanafundisha tu,kumbuka tunajifunza content na sio teaching methodology ambayo inatofautisha fani nyingine na ualimu.na hizo shule ndo zinafaulisha.tafakari.

Wanaelewa nn bhna mbona mkuwa kama vchaa kama anaelewa na anaupenda ualimu si angesomea au ndio amefeli huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…