Waliotabiri mvua itanyesha hawakukosea

machiaveli

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2016
Posts
2,225
Reaction score
5,055
Hawa TMA kwa kweli hawakukosea Leo nimechapwa na mvua Moja pande za kisongo airport mpaka nikaficha simu yangu sehemu za siri.

Ni mara ya kwanza nime experience kichapo Cha mvua namshukuru Mungu yule jomba aliyekua anaendesha harrier yake alinipa lift manake sikuona bodaboda wala bajaji.

Ninavyoandika huu Uzi bado mvua kubwa inanyesha Arusha

Tumshukuru Mungu
 
πŸ™„
 

Hicho kiswaswadu kitakuwa na harufu kali sana!
 
Kuna mdau asubuhi alisema mvua inanyesha kistaarabu sana pande hizo, imekuaje tena?
 
Mtoa mada kaoshe nyota yaan toka juu mpaka hapa sijaona comment ya kukusapot kila mmoja anakunanga jins gan ulivyo na nuks, mikos, gundu, mixa kipapai hapo tu humu watu hata hawakujui sijui kitaa unakhali gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…