OLESAIDIMU
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 19,139
- 9,562
Huu utakuwa ni ujinga. Unaacha kazi kwa kutegemea 20% ya contributions zako ndio uendelezee kampuni!!!
Hii sheria ya SSRA nimeipenda. Itasaidia sustainability ya mifuko yetu na pia wanaweza kuplan vizuri especially kwenye long term investmennts.
Mkuu, unataka mifuko yetu iendeshwe vp kama kila mtu akitaka kuchukua contributions zake? Kumbuka wanapochukua contributions zako wanakuwa tayari wameshazifanyia projections za miaka iliyobaki mpaka ustaafu. Sasa ukizichukua maana yake unadisturb na unaweza kusababisha wengine kushindwa kulipwa mafao yao when they fall due.Aisee. Nimejaribu kama dakika 10 kutafuta maneno makali ya kukujibu nimekosa. Yote naona yatapelekea nilimwe kifungo
Mkuu, unataka mifuko yetu iendeshwe vp kama kila mtu akitaka kuchukua contributions zake? Kumbuka wanapochukua contributions zako wanakuwa tayari wameshazifanyia projections za miaka iliyobaki mpaka ustaafu. Sasa ukizichukua maana yake unadisturb na unaweza kusababisha wengine kushindwa kulipwa mafao yao when they fall due.
Tuangalie going concern ya mifuko na majority ya retirees na siyo kujiangalia wenyewe!!
Jambo moja muhimu hapa ni kwamba sheria ni MKATABA. Utaratibu huu ni mpya hivyoi ni lazima uhusike na michango ya kuanzia pale ulipotangazwa onwards. Kisheria kuna hoja hapo.
Huwezi kuimpose new terms on existing contract UNILATERALLY. Wanasheria tutoeni kifungoni.
Mkuu, unataka mifuko yetu iendeshwe vp kama kila mtu akitaka kuchukua contributions zake? Kumbuka wanapochukua contributions zako wanakuwa tayari wameshazifanyia projections za miaka iliyobaki mpaka ustaafu. Sasa ukizichukua maana yake unadisturb na unaweza kusababisha wengine kushindwa kulipwa mafao yao when they fall due.
Tuangalie going concern ya mifuko na majority ya retirees na siyo kujiangalia wenyewe!!
Mkuu, kumbuka nia na madhumuni ya compulsory benefit schemes ni kwaajili ya kukusaidia kwenye kipindi ambacho huwezi tena kufanya kazi either kwa ugonjwa au uzee. Siyo saving schemes ujichukulie tu contribution zako unavyotaka!!! Mifuko ya hifadhi za jamii na banks ni vitu viwili tofauti!!!Going concern ya mfuko? How about going concern ya mwanachama? Ina maana sisi wafanyakazi hatutakiwi kuwa na plan. Kuna ubaya gani mimi nikifanya kazi miaka 5 naacha najiajili mwenyewe? Anyway, nisiseme sana maana sijui nchi za wenzetu hasa jirani wanafanyeje.
Tatizo Serikali ipo mifukoni mwa watu wachache. Kwa hiyo sishangai kama hili ni shinikizo la mifuko yenyewe kama ambavyo wenye viwanda vya nguo walishinikiza serikali kuondoa kodi. Hizo hela ni kwetu, wanatutunzia. Kwani going concern ya mabenki ikoje pale mtu unaweza kuweka hela zako asubuhi, mchana unakwenda kuchukua?
Life span ya mtanzania iko average ya 44yrs! Mafao 55yrs! Kazi tunayo!
Hahahahha...who is Chadema?CHADEMA mko wapi ufafanuzi plz.Nimeachishwa kazi namdai mwajiri 4.5m sizipati?we we we nyinyiemu acheni hizo.Kama noma na iwe noma j3 niko ofisi za nsssf morogoro.ole wao wasiponipa.Kweli serikali haitupendi du nimeamini
Acha ujinga wewe, hivi mil 10 za sasa unazuia nisizichukue eti nizichukue baada ya miaka 20 ijayo hiyo ni akili kweli nikiwa na miaka 60, itanisaidia nini?, huoni kama ningeruhusiwa kuchukua sasa hivi zinginesaidia kuendeleza biashara zangu....ukweli ni kwamba serikali ya CCM imefilisika hivyo kimbilio ni kwenye mifuko ya jamii..Kumbukeni nia na madhumuni ya compulsory benefit schemes ni kwaajili ya kukusaidia kwenye kipindi ambacho huwezi tena kufanya kazi either kwa ugonjwa au uzee. Siyo saving schemes ujichukulie tu contribution zako unavyotaka!!!
Hahahahha...who is Chadema?
Hii kitu Tutaipinga mpaka kieleweke. Hatutaki mfumo huu.