Waliotekwa, kuteswa na kupotea awamu ya 6 ni wengi kuliko awamu zote

Waliotekwa, kuteswa na kupotea awamu ya 6 ni wengi kuliko awamu zote

Vichekesho

Member
Joined
Jun 20, 2024
Posts
66
Reaction score
3,277
Jana iliwekwa orodha ya watu zaidi ya 40 ambao hawajulikani walipo (wametoweka) na wala mabaki ya miili yao hayapo.

Je, ni nani yuko nyuma ya matukio haya? Je, ni jeshi la polisi au tunawasingizia tu? Je ni wahalifu? Ikiwa ni wahalifu je wanauwezo wa namna gani?

Nadhani vyombo vya ulinzi vina haja ya kuongeza bidii kutokomeza matukio ya namna hii.

Baadhi ya wanasiasa walidiriki kusema kuwa mtekaji alikuwa JPM, je anaendelea kuwateka hata baada ya kifo?
 
images.jpeg-90.jpg
 
JPM alisingiziwa mabaya mengi sana na Chadema, anyway labla mzimu wake bado unapiga kazi
 
Back
Top Bottom