Waliotemwa na loan board

Waliotemwa na loan board

gallen

Member
Joined
Dec 31, 2011
Posts
30
Reaction score
25
Jamani jana nimeckia eti kuna majina ya wanafunzi waliotemwa na bodi ya mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu hivi ni kweli?
 
sio kweli, itakuwa kweli mpaka utakapo pata ukweli achana na kusikia
 
wata watema vipi watu akati deadline imekuwa extended ,maana yake evaluation haiwezi kufanyika mpaka watu wachaguliwe na tcu then evaluation process ianze ndo majina yawaliopata yatangazwe .
 
Mi mwenyewe nimesikia hivyo bt kwenye website yao hamna k2.ANAYEZUSHA HAYA MAMBO ACHUKULIWE HATUA COZ ANA2PA PRESHA
 
Ata mi mwenyewe nimesikia na wewe umetemwa eti ni kweli?
 
Nyote mtabaki kusikiaaa mwisho itakuwa umeskia chuo umekosa
 
nimesikia loan board imefutwa hiyo ni kutokana na watu kukwepa kulipa zile pesa walizopewa including mi mwenyewe
 
huo uzushiiii duuu mareaia niaje kupeana poresha afu wanasema idadi kubwaaa duuuu sio poa bhana.
 
Kila mmoja hapa anasema ameckia ivo,bas hayana uhakika hayo maneno
 
HABARI KUTOKA BODI YA MKOPO
Muda wa kuomba
mkopo kwa wanafunzi wa vyuo vya
elimu ya juu imefikia mwisho wiki
iliyopita, Julai 30, huku wanafunzi 17,
406 kati ya wanafunzi 115,431
walioomba mikopo hiyo, wakiwa
hatarini kukosa.
Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Bodi ya
Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu
(HESLB), Cosmas Mwaisobwa,
amefafanua kwamba mpaka wakati wa
kusitisha kupokea maombi kwa mwaka
huu, wanafunzi 54,370 ambao ni
waombaji mikopo wa mara ya kwanza
walikwishakamil isha maombi yao.
Mbali na hao wa mara ya kwanza,
Mwaisobwa aliyezungumza na gazeti hili
wiki iliyopita, alisema pia wanafunzi
61,061 wanaoendelea na masomo yao
katika vyuo vya elimu ya juu, walituma
maombi ya kutaka bodi hiyo kuendelea
kuwakopesha.
Kutokana na hali hiyo, Bodi imejikuta
ikipata maombi ya wanafunzi 115,431,
wakati ina bajeti ya kudhamini
wanafunzi 98,025 kwa mwaka wa
fedha 2013/14, ambayo hata hivyo ni
ongezeko la asilimia 2.4.
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi,
Dk Shukuru Kawambwa, aliposoma
bajeti ya wizara hiyo hivi karibuni,
alisema Serikali kupitia HESLB, itatoa
mikopo kwa wanafunzi 35,649 ambao
ni waombaji wapya na 62,376
wanaoendelea.
Kwa bajeti hiyo, inaonekana wanafunzi
wengi watakaokosa mikopo ni
waombaji wapya, kwa kuwa wakati
bajeti ya Serikali ilijielekeza kuwapa
mikopo wanafunzi wanaoendelea
62,376, walioomba ni pungufu ya hao
kwa kuwa wako 61,061.
Mwaka wa fedha uliopita, wanafunzi
98,773 waliwasilisha maombi na kati
yao, 95,594 ndiyo waliopata mikopo.
*Chanzo Habarileo Gazet tar 05/08/2013
 
HABARI KUTOKA BODI YA MKOPO
Muda wa kuomba
mkopo kwa wanafunzi wa vyuo vya
elimu ya juu imefikia mwisho wiki
iliyopita, Julai 30, huku wanafunzi 17,
406 kati ya wanafunzi 115,431
walioomba mikopo hiyo, wakiwa
hatarini kukosa.
Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Bodi ya
Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu
(HESLB), Cosmas Mwaisobwa,
amefafanua kwamba mpaka wakati wa
kusitisha kupokea maombi kwa mwaka
huu, wanafunzi 54,370 ambao ni
waombaji mikopo wa mara ya kwanza
walikwishakamil isha maombi yao.
Mbali na hao wa mara ya kwanza,
Mwaisobwa aliyezungumza na gazeti hili
wiki iliyopita, alisema pia wanafunzi
61,061 wanaoendelea na masomo yao
katika vyuo vya elimu ya juu, walituma
maombi ya kutaka bodi hiyo kuendelea
kuwakopesha.
Kutokana na hali hiyo, Bodi imejikuta
ikipata maombi ya wanafunzi 115,431,
wakati ina bajeti ya kudhamini
wanafunzi 98,025 kwa mwaka wa
fedha 2013/14, ambayo hata hivyo ni
ongezeko la asilimia 2.4.
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi,
Dk Shukuru Kawambwa, aliposoma
bajeti ya wizara hiyo hivi karibuni,
alisema Serikali kupitia HESLB, itatoa
mikopo kwa wanafunzi 35,649 ambao
ni waombaji wapya na 62,376
wanaoendelea.
Kwa bajeti hiyo, inaonekana wanafunzi
wengi watakaokosa mikopo ni
waombaji wapya, kwa kuwa wakati
bajeti ya Serikali ilijielekeza kuwapa
mikopo wanafunzi wanaoendelea
62,376, walioomba ni pungufu ya hao
kwa kuwa wako 61,061.
Mwaka wa fedha uliopita, wanafunzi
98,773 waliwasilisha maombi na kati
yao, 95,594 ndiyo waliopata mikopo.
*Chanzo Habarileo Gazet tar 05/08/2013

hapo kwa waombaj wa mara ya kwanzaa naomba kuuliza kwamba inajumuisha

1.graduate wa 2013(fresh from school)
2.graduate wa 2012 kushuka chin walioksa miaka iliyopita
3.diploma holders
swal langu nan anayepewa kipaombele hapo katika hao waombaj wa aina tatu hapo juu(kuhusu priority na non-priority za course tuweke pembenii) nawasilishaaa wenye ujuz wa hili...!
 
dah! mm jina la shule ya form six halikutokea na niliedit collectly mara nyng ckufanikiwa,rafik zangu wakanijaribia pia bt haikuchange niliprit mara3 mwishoe nikapost hivohivo aiseee duh! Sasa cjui kama kunamwingine alipata tabu hiii.
 
dah! mm jina la shule ya form six halikutokea na niliedit collectly mara nyng ckufanikiwa,rafik zangu wakanijaribia pia bt haikuchange niliprit mara3 mwishoe nikapost hivohivo aiseee duh! Sasa cjui kama kunamwingine alipata tabu hiii.

Mimi pia ilikuwa kama wewe....niliangaika sana kwenda kule bodi,sikufanikiwa hata kuingia ndani ila nilipewa namba ya simu ya jamaa wa ndani naye akanipa niongee na mmama ambaye anahusika kwa kiasi kikubwa na selection na haya ndo majibu yake......alisema kuwa majina sio muhimu kihivyo ila yapo pale juu ili kurahisisha kazi tu kwa sababu wanapoanza kupitia maombi yenu wanaangalia na vyeti vya form 4 ambavyo vina jina la shule ndani yake...pia akanitoa hofu kuwa sio mimi tu peke yangu,bali kuna baadhi ya shule ambazo mostly ni zile shule za kata zilizoanza 2007 bado majina hayajawekwa kwenye database yao hivyo its not a big deal,sanasana ni advantage tu..over
 
Mimi pia ilikuwa kama wewe....niliangaika sana kwenda kule bodi,sikufanikiwa hata kuingia ndani ila nilipewa namba ya simu ya jamaa wa ndani naye akanipa niongee na mmama ambaye anahusika kwa kiasi kikubwa na selection na haya ndo majibu yake......alisema kuwa majina sio muhimu kihivyo ila yapo pale juu ili kurahisisha kazi tu kwa sababu wanapoanza kupitia maombi yenu wanaangalia na vyeti vya form 4 ambavyo vina jina la shule ndani yake...pia akanitoa hofu kuwa sio mimi tu peke yangu,bali kuna baadhi ya shule ambazo mostly ni zile shule za kata zilizoanza 2007 bado majina hayajawekwa kwenye database yao hivyo its not a big deal,sanasana ni advantage tu..over

hahaha! umesomeka mkuu! true shule yngu ilkua mpka! Atlist i have hope.
 
N headache! Watatema hao wanaonza mwaka wa kwanza. Kwan? Ufaulu c ulipungua! Kwa nn wote wasipate mkopo.
 
Back
Top Bottom