Copro mtego
JF-Expert Member
- Aug 22, 2022
- 619
- 796
Leo tupeane uzoefu kidogo kwa wanatumia tiba mbadala kama za wamasai, wachina, wakorea na makampuni mbalimbali kama BF suma.
Naona zinauzwa sana Kariakoo dawa asili za kutibu kisukari, pressure, vidonda vya tumbo, bawasili, uzazi kwa wanawake na wanaume,nk
Pia zinauzwa sana hata Mitandaoni na pembezoni mwa barabara unakuta mtu kakusanya watu anauza dawa au anatembeza
Kwa kuwa wateja ndo sisi tunaonunua na kutumia dawa hizi naomba tupeane mrejesho wa matokeo ya dawa hizi