Copro mtego
JF-Expert Member
- Aug 22, 2022
- 619
- 796
Mh unakunywa dawa za k koo halafu upone kisa Imani?ni imani tu ndio itakusaidia kupona
Ushuhuda wako kama umewahi kutumiaDawa za asili huwa zinaponya baada ya muda mrefu ujue.Usitegemee upone baada ya muda mfupi kama kunywa chloroquine kuponesha malaria
Hospitali zivunjwe yaniMh unakunywa dawa za k koo halafu upone kisa Imani?
Natumia sana. Mfano nilikuwa na tatizo a mgongo, limeponywa kwa dawa ya kufunga. Kuna dawa naijaribisha kwa wenye HIV na naona inazaa matunda (not less than one year). Miti shamba inatibu ila kwa muda mrefu siyo siku moja tu. Kuhusu Kisukari na BP sijui, ngoja tuoneUshuhuda wako kama umewahi kutumia
Unsijaribishaje mkuuNatumia sana. Mfano nilikuwa na tatizo a mgongo, limeponywa kwa dawa ya kufunga. Kuna dawa naijaribisha kwa wenye HIV na naona inazaa matunda (not less than one year). Miti shamba inatibu ila kwa muda mrefu siyo siku moja tu. Kuhusu Kisukari na BP sijui, ngoja tuone
Zinatuhumiwa kuwa zimechangia sana katika kuongeza wagonjwa wa figo nchini.Leo tupeane uzoefu kidogo kwa wanatumia tiba mbadala kama za wamasai, wachina, wakorea na makampuni mbalimbali kama BF suma.
Naona zinauzwa sana Kariakoo dawa asili za kutibu kisukari, pressure, vidonda vya tumbo, bawasili, uzazi kwa wanawake na wanaume,nk
Pia zinauzwa sana hata Mitandaoni na pembezoni mwa barabara unakuta mtu kakusanya watu anauza dawa au anatembeza
Kwa kuwa wateja ndo sisi tunaonunua na kutumia dawa hizi naomba tupeane mrejesho wa matokeo ya dawa hizi
Umewahi kuona mtu kapona kwa hizo dawa?πunaambiwa dawa moja inatibu magonjwa zaidi ya 10 hahahah
Asante mkuuZinatuhumiwa kuwa zimechangia sana katika kuongeza wagonjwa wa figo nchini.
Kamwe usinywe dawa kiholela bila kujua imetengenezwa na nini...
kiukweli sina mengi ya kusema ila mashabiki wa hizi dawa huwa wanazitumia mara kwa mara means hawaponi ila wanapata nafuu wakizitumiaUmewahi kuona mtu kapona kwa hizo dawa?π
Unamaanisha wanapata nafuu wanajiona wamepona halafu baadae wanaumwa tena kama nimekuelewa vzr mkuukiukweli sina mengi ya kusema ila mashabiki wa hizi dawa huwa wanazitumia mara kwa mara means hawaponi ila wanapata nafuu wakizitumia
π€Unamaanisha wanapata nafuu wanajiona wamepona halafu baadae wanaumwa tena kama nimekuelewa vzr mkuu
Inaonekana watu wanatumia hizi dawa wanaogopa kusema wanatumia Kama uchawi tu πLeo tupeane uzoefu kidogo kwa wanatumia tiba mbadala kama za wamasai, wachina, wakorea na makampuni mbalimbali kama BF suma.
Naona zinauzwa sana Kariakoo dawa asili za kutibu kisukari, pressure, vidonda vya tumbo, bawasili, uzazi kwa wanawake na wanaume,nk
Pia zinauzwa sana hata Mitandaoni na pembezoni mwa barabara unakuta mtu kakusanya watu anauza dawa au anatembeza
Kwa kuwa wateja ndo sisi tunaonunua na kutumia dawa hizi naomba tupeane mrejesho wa matokeo ya dawa hizi