WALIOTIMULIWA SEKONDARI YA BAGAMOYO HAPA....kurejea

sobber

Member
Joined
Nov 7, 2012
Posts
17
Reaction score
1
kundi la wafunzi takribani 900 waliofukuzwa bagamoyo kurejeshwa januari.

habari zinasema pamoja na kurejea kwao, kamishna wa elimu nchini alivunja mwiko, kupingana na

DC na RC na kujiunga na bonas ndimbo kumdanganya waziri wa elimu Dr J. Kawambwa.Wanafnz hao wa kidato cha 5 na 6

watarejea januari na Mkuu wa shule hiyo haendi popote, atabaki.

source: wanafubz waliokutana Azania Sec
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…