figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
Aisee Mkuu Figa upoo? Ukraine vs Urusi hatuisikii tena.(ni nje ya mada lakini).Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina amesema kuwa anaamini kuuawa kwa mamba aliyedaiwa kuwa mkubwa zaidi duniani ni njama na uhujumu uliofanywa na watumishi wasio waaminifu wa Wizara ya Maliasili na Utalii.
Mpina amesema hayo bungeni jijini Dodoma wakati akichangia bajeti ya wizara tajwa kwa mwaka 2024/2025 ambapo amehoji kwanini wizara haikuona umuhimu wa kumhifadhi mamba huyo na kuwa kivutio cha utalii.
Ameisihi Serikali kuunda kamati ya uchunguzi itakayofuatilia tukio hilo na wale wote waliohusika wachukuliwe hatua za kisheria.
View attachment 3008227
Huyu mrefu kuliko wote duniani wamekosea kuruhusu awindwe.Hivi sheria ya utalii wa kuwinda imefutwa?
Nijuavyo kuna ruhusa ya kuwinda kwa vibali maalum ambavyo muwindaji anaruhusiwa kuwinda wanyama elekezi kwa malipo.
Kama sheria hiyo imefutwa nisahihishwe
Haijafutwa bali imeboreshwa zaidi - sasa unaweza kumchukua mnyama akiwa hai na ukaondoka naye.Hivi sheria ya utalii wa kuwinda imefutwa?
Nijuavyo kuna ruhusa ya kuwinda kwa vibali maalum ambavyo muwindaji anaruhusiwa kuwinda wanyama elekezi kwa malipo.
Kama sheria hiyo imefutwa nisahihishwe
Hivi alikuwa peke yake tu hakuna mwingine tena aliyebaki?Huyu mrefu kuliko wote duniani wamekosea kuruhusu awindwe.
Hakuna muhifadhi anayejua urefu mamba kabla hajawindwa.Huyu mrefu kuliko wote duniani wamekosea kuruhusu awindwe.