Waliovujisha UE SEKOMU hawa hapa

sabai

Member
Joined
Dec 17, 2012
Posts
69
Reaction score
7
Nipo katikati mwa chuo kikuu SEKOMU taarifa kutoka kwa chanzo cha kuaminika toka chuo hiki ni kuwa wafuatao wamehusika mojakwa moja ktk mtihani uliokuwa umeibiwa kwa wanafunzi wa mwaka wa tatu katika kitivo cha elimu ambao ni walimu wa masomo husika ,

Examination office, baadhi ya wanafunzi na kambi zao wakapata wanafunzi hao ni mkurya mmoja aka mzee wa escrow SEKOMU au kwa jina mashuhuri Chacha akiwakilisha white house, Mgecha CR akiwakilisha vyema watu waC umpus Bi Lucy Mlack aliwalilisha watu wa bondeni kizito na Chibwi akiwakilisha watu wa mshelemle na aloyce na colmani akiwakilsha watu wa cost ya chini.

Tayari hawa watu wameisha anzwa kuitwa bila kusahau Ihonde na Ally Rama waziri wa mikopo akiwakilisha vyema watu kwa bibi marium ila uchunguzi bado unaendelea na mwenyekiti wa tume Mh Mutungi amesema uchunguzi unaendelea ukikamilika mambo yote yataweka wazi na bado wanafunzi watazidi kuongezeka kadri muda unavyoenda.
 
Vyuo vingine ni aibu kwa elimu yetu.
 
Dodo hebu tulia kwanza tuambie vizuri yaani habari kamili maana unavyoripoti habari yako ni kama vile na sie ni wanachuo wa hapo chuoni kwenu Tupe full maelezo Mitihani imefanyika lini? Je ni mtihani gani ulivuja? Ilikuwaje ukavuja? Taarifa ulizonazo za chini ya kapeti zinasemaje? Uchunguzi wa awali umebaini nini? Ni chuo gani hicho?

n.k

Tililika bw. mdogo acha kitete
 
"HAWA NDIO WALIMU WA BADAE" alafu mnataka maendeleo zaid ktk elimu "yaani UE inavuja wakat vyuo vinavyojitambua hata assignment tu ni confirdential" Nadirik kusema HAKUNA CHUO HAPO, ni watu tu wanaganga njaa zao!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…