Waliowahi kufanya ngono kwenye gari tukutane hapa

Game za kwenye gari zina utamu gani?

Kuchafua na kuitafutia tu gari mikosi!
hapa ndio huwa nashindwaga kuelewa tuseme na mkipiga game bafuni mnalitafutia bafu mikosi au πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚..

mkipiga game sittin rum kwenye masofa je? nayo itakuwa na mikosi

kitchen je?

dada naomba unisaidie kwakweli isije ikawa nimeijaza nyumba yangu mikosi maana mimi sihemu ambayo sijawahi pigia game home labda juu ya dari asee naomba msaada wako
 
Hapa kunazungumzwa kuhusu vidumu or michepuko, sijazungumzia wenye ndoa!

Mke na mume rukhsa hata kufanyana barabarani or wherever[emoji15] [emoji15]

Ila binafsi sipendi na haitakaa itokee kufanya mapenzi kwenye gari yangu never ever! I detest this from deep my heart
 


bado sijaowa mkuu... ila kwenye gari nilifanyaga sana kipindi nipo chuo... nilikuwaga expert kwa kweli nilikuja kuacha siku ambayo gari ya mzee ilizingua sasa akaniomba nimpelekee gari niliyokuwa nakaa nayo hostel alikutaga pichu ya kike ...nilinyang'anywa gari hadi ile semester ilivyoisha nikaacha huo mchezo..

sikuhizi ni mechi za vidumu tu hizo nilizosema nimepigia sehemu mbalimbali ndan ya nyumba ....

ushauri wako kama dada mkuu niache nibakie tu kupigia room au fanya kama unamshauri mdogo ako wa kiume uliyegundua huwa anapiga mechi mpaka jikoni ...ukute ndio sababu sinenepi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ chakula kinakuwa hakina baraka πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Haaahaaaahaaa....jiulize kwanini mzee wako alikunyang'anya gari baada ya kukuta chupi ya kike kwenye gari yake aliona unamletea mikosi tu anakalia sh.ah.a.wa zenu WTF!![emoji15] [emoji23] ....unafikiri angeikuta chupi ya kike room kwako angeleta noma? No way...

Kiufupi zinaa ni dhambi na ni chukizo kwa muumba ila ni vile tunashupaza shingo na kuifanya!
 

nimekupata dada πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚... kwanzia sasa ntkuwa napiga bed tuuuu πŸ˜‚πŸ˜‚ mambo ya kwenye makochi..dining kwenye meza na jikoni nasataafu rasmi πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
 
Hahahahahaaa
 
Wit hamna eneo maalum lililopangwa kufanya mapenzi.
See....kote ntafanya lkn sio kwenye gari...yaan sipendi kweli!

Sijasema nyie msifanyie kwenye gari, ila binafsi sipendi! Kwani hoteli zimeisha?

Yaani binafsi sijui naonaje[emoji57] [emoji57] [emoji57]
 
Basi waume za watu wengi ndo wanaongoza mechi za kwenye gari sababu ya muda.
Kuna mkaka aliniambia hakumbuki lini Mara ya Mwisho kuingia hotel na mwanamke huwa anamaliza kwenye gari. Eti bora hela ya hotel ampe mwanamke kuliko kutumia masaa mawili matatu halafu hela iende bure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…