Waliowahi kufanya ngono kwenye gari tukutane hapa

Yaani unabahati hao wajeda wangekuamulia unajua wana azabu ndogondogo lakini zinaumiza sana ungeambiwa uendelee kumgegeda huyo kahaba mwenzio mpaka asubuhi sasa sijui ungefayaje?
 
Heeee[emoji15] [emoji15] ....hotelini kuna raha yake bana! Unakunjika vizuri,Unaoga, na unajiandaa vizuri mdada saa ya kutoka!

Sasa kwenye gari full kubanana mara na ule mtikisiko mara mguu umeparamia kioo ukikivunja?? Kisa starehe ya dk 5[emoji15] kiufupi ntakuwa siko hata comfortable kabisa! Nahisi watu wananiona yaaan wanaofanyana kwenye magari wana moyo daah![emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mkuu wangu feedback vipi khs ile kruger new model?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu nishakula maraha na ule mndinga, nimemrudishia asee!

Ile raha niliyopata siku tatu zile na ule mchuma sijawahi kuipata kokote toka nizaliwe haaahaaaa

Yule boya nilimuoshea alikuwa mdogo huyoo sisimizi tembo
 
See....kote ntafanya lkn sio kwenye gari...yaan sipendi kweli!

Sijasema nyie msifanyie kwenye gari, ila binafsi sipendi! Kwani hoteli zimeisha?

Yaani binafsi sijui naonaje[emoji57] [emoji57] [emoji57]
Ubunifu tuu. Kitanda cha nini kila siku.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu nishakula maraha na ule mndinga, nimemrudishia asee!

Ile raha niliyopata siku tatu zile na ule mchuma sijawahi kuipata kokote toka nizaliwe haaahaaaa

Yule boya nilimuoshea alikuwa mdogo huyoo sisimizi tembo
Daah hata lift hatupeani mkuu,hahah poa poa mkuu.
 
Ngoja nisubscribe, nikinunua gari nitarudi
 
Mi nlshafanya kwenye texii. Yan dereva na Rafik wa girl friend wangu walkuwa mbele. Xx nyuma. Ilkuwa ni mwendo wa kma dakika 30 tumatoka club. Bc mdada wa watu kaichezea dude ikasimama, ilposmama kaikalia juu. Nilikuwa naenyoy sana tukifika kwenye mbavu za mbwa.
 
Hahaha..hatari
Ila hii mada iliwahi letwa humu
 
Game za kwenye gari zina utamu gani?

Kuchafua na kuitafutia tu gari mikosi!

Gari lenyewe umenunua 4th hand, wajapan washadunguana humo mpk basi.. mkosi kwani ndio unabikiri gari we?
 
Hamna noma mkuu wangu cha msingi uli enjoy,interior yake nadhani itakua ni ya ukweli saaaana.
Usipime ya ukweli kinoma....kuna baadhi ya vitu ilibidi nielekezwe nisije haribu!

Shikamoo mzungu!
 
[emoji7] [emoji7] [emoji7]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…