Acha kumdanganya mwenzio mkuu, wakati we mwenyewe kwa majibu ya Leo pale mahakamani unajua umeacha hakimu anaandaa mkeka wa Mvua😅😅😅(avater yako)Uache urithi mi nitakuangalizia shem
Mi nachomoka nimfuate nand wanguAcha kumdanganya mwenzio mkuu, wakati we mwenyewe kwa majibu ya Leo pale mahakamani unajua umeacha hakimu anaandaa mkeka wa Mvua[emoji28][emoji28][emoji28](avater yako)
Subiri utakuja uniambie ukiwa tayari umelowa na Mvua ya maana, kwa jina tu la yule hakimu si umelisoma vizuri???Mi nachomoka nimfuate nand wangu
Mi ni brigedia utaonaSubiri utakuja uniambie ukiwa tayari umelowa na Mvua ya maana, kwa jina tu la yule hakimu si umelisoma vizuri???
Sawa tu we brigedi unaongea na mwendesha mweweMi ni brigedia utaona
Allah akutangulie..Asanteni kwa kunijuza na kwa ushauri.
Mambo yatakuwa sawa muda si mrefu nitaenda huko--->nitawaletea mrejesho na picha lukuki Inshaalah!
Karibu haut KatangaMi nikiushika mkwanja lzm nikaitembelee Congo kinshasa
Adventure safari RDC. Kutamu sanaBarabara zao mbovu kabisa. Unaweza tumia miezi miwili kutoka Goma hadi Kinshasa. Mwezi barabarani na mwezi kwenye boti.
Njoo Lubumbashi sehemu inaitwa kabila avenue uliza ofc za Ruashi au SNCC then uliza code name afande ..tuonane tupange hii tour vzrAsanteni kwa kunijuza na kwa ushauri.
Mambo yatakuwa sawa muda si mrefu nitaenda huko--->nitawaletea mrejesho na picha lukuki Inshaalah!
Ahsante sana.Karibu haut Katanga
Kkkkkk. Tafuta nchi nyingine. Hakuna barabara itakayokufikisha kule ukiwa na ari na hamu ya uamuzi ambao utaujutia maisha yako yote. Ni rahisi kutoka Dar hadi Cairo mara tatu kuliko kwenda hadi Kinshasa. Hata ukitumia ndege, ni matatizo. Ndege zao nyingi za kirusi ni za zamani na zinajazwa kupita kiasi. Kusema ukweli, heri ufikirie hata kwenda Afrika Kusini hata Zimbabwe kuliko DRC. Usipoamini ushauri huu, utaukumbuka baada ya kuanza safari yako.Habari wadau,
Recently nimepata kimuhemuhe cha kutaka kutembelea DRC(sio kwa biashara ila ni kwa ajili ya utalii uchwara)
Nifanye road trip mpaka nitokee upande wa pili wa nchi kule kwenye bahari ya Atlantic.
Kuna mtu humu amewahi fanya hii kitu?
Experience ikoje?
Nafahamu fika kwamba Cogo sio sehemu salama sana,lakini bado natamani kujaribu culture yao kwa muda.
Naomba updates.
Asante