Waliowahi kufumania wapenzi/wake zao tupeane uzoefu

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],Marinda yalipona kweli??.
 
Mkuu si ungemtmba tu hapo hapo na wewe mkiwa na jamaa, huenda hasira zingeisha.
 
Ulifanya vyema kuchungulia getini yangekukuta mkuu.
 
mkuu maliziaa baada ya hapoo
 
Jamii ya kimasai wameweza kudhibiti hii kitu kupitia viongozi wao wa kimila.

Ukikuta mtu wa rika lako anamshugulikia mkeo, wewe pia nenda kwake kafanye hivyo hivyo na kesi imeisha. Hakuna mambo ya wivu.
Mnhhuu!!!
 
Na Kama ni mzee utaenda kumshughulikia nani na akikataa je?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…