Sidi J
Member
- Mar 13, 2017
- 45
- 49
Wakuu salama?
Kwa waliosoma shule za bweni (boarding) za mchanganyiko, mtakumbuka jinsi maisha yalivyokuwa "tight" hasa kwa shule zenye sheria kali kama zile za dini na taasisi mbalimbali.
Lakini bado kigumu raia walitafuta upenyo, iwe shuleni au nje ya shule na wakapata kufanya mambo (kusex)..
Hebu tuleteeni shuhuda hapa basi tujikumbushe enzi.
Nawasilisha