Waliowahi kununua magari Zanzibar na kuleta Dar msaada wenu tafadhali

Waliowahi kununua magari Zanzibar na kuleta Dar msaada wenu tafadhali

Royal Warrior

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2015
Posts
1,166
Reaction score
2,143
Habari zenu wadau,

Kwa wale wazoefu ambao wameshwahi kununua gari Zanzibar na kuleta Dar. Naomba kujua process zake zipoje.

Natanguliza shukrani.
 
Unatakiwa kulipia ushuru uliopungua ila makinika sana gari za Zenji nyingi vimeo na bandarini siku hizi wanazingua sana

Jr[emoji769]
Ahsante. Na process za kubadili namba je? Maana Zanzibar namba zao tofauti na huku
 
Me nakumbuka nilinunua gari Zenji na nililipa wakaniletea gari mpaka ofisini na namba ya Bara waliniwekea kabisa. Mie nilienda na kulipia pesa waliyohitaji kwisha mchezo mengine yote walifanya waliyoniuzia.
 
Me nakumbuka nilinunua gari Zenji na nililipa wakaniletea gari mpk ofisini na namba ya Bara waliniwekea kabisa. Mie nilienda na kulipia pesa waliyohitaji kwisha mchezo mengine yote walifanya waliyoniuzia
Hii imekaa vizuri zaidi
 
Habari zenu wadau,

Kwa wale wazoefu ambao wameshwahi kununua gari Zanzibar na kuleta Dar. Naomba kujua process zake zipoje.

Natanguliza shukrani.
Mara ya mwisho nilinunua Gari Zanzibar ilikuwa 2009, Nilienda nikapita kwenye showroom nikachagua gari, nikalipa na kumkabidhi gari yeye, nikaenda kulichukua Central full stop, likiwa na kila kitu.
 
Me nakumbuka nilinunua gari Zenji na nililipa wakaniletea gari mpk ofisini na namba ya Bara waliniwekea kabisa. Mie nilienda na kulipia pesa waliyohitaji kwisha mchezo mengine yote walifanya waliyoniuzia
Si wote walio bahatika kama wewe. Wengine wameishia kupigwa

Jr[emoji769]
 
Si wote walio bahatika kama wewe. Wengine wameishia kupigwa

Jr[emoji769]
Nilienda mwenyewe na nilinunua kwenye yard kabisa na wao ndio walisafirisha kuja bara nililipa gharama zote. Wao waliniletea mpk ofisini na kila kitu
 
Ukiagiza gari Zenji sasa hivi jiandae kupigwa tu hiyo gari kama ni milioni saba
Bandarini ushuru utapigwa milioni nne
That means unatakiwa uwe na 10M+
Sasa tabu hiyo si bora uchukue showroom za hapahapa Bongo tu.
 
Duh
 
Ila kwa zanzibar kuna unafuu mkubwa sana maana naona hata magari yao yanayounzwa inster bei ni rahic sana
 
Back
Top Bottom