Royal Warrior
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 1,166
- 2,143
Unatakiwa kulipia ushuru uliopungua ila makinika sana gari za Zenji nyingi vimeo na bandarini siku hizi wanazingua sanaHabari zenu wadau,
Kwa wale wazoefu ambao wameshwahi kununua gari Zanzibar na kuleta Dar. Naomba kujua process zake zipoje.
Natanguliza shukrani.
Ahsante. Na process za kubadili namba je? Maana Zanzibar namba zao tofauti na hukuUnatakiwa kulipia ushuru uliopungua ila makinika sana gari za Zenji nyingi vimeo na bandarini siku hizi wanazingua sana
Jr[emoji769]
Ukishalipia deficity hiyo ni pamoja na number mpya ya Tanganyika.Ahsante.. na process za kubadili namba je? Maana znz namba zao tofauti na huku
Ok thanksUkishalipia deficity hiyo ni pamoja na number mpya ya Tanganyika..
Jr[emoji769]
Hii imekaa vizuri zaidiMe nakumbuka nilinunua gari Zenji na nililipa wakaniletea gari mpk ofisini na namba ya Bara waliniwekea kabisa. Mie nilienda na kulipia pesa waliyohitaji kwisha mchezo mengine yote walifanya waliyoniuzia
Mara ya mwisho nilinunua Gari Zanzibar ilikuwa 2009, Nilienda nikapita kwenye showroom nikachagua gari, nikalipa na kumkabidhi gari yeye, nikaenda kulichukua Central full stop, likiwa na kila kitu.Habari zenu wadau,
Kwa wale wazoefu ambao wameshwahi kununua gari Zanzibar na kuleta Dar. Naomba kujua process zake zipoje.
Natanguliza shukrani.
Si wote walio bahatika kama wewe. Wengine wameishia kupigwaMe nakumbuka nilinunua gari Zenji na nililipa wakaniletea gari mpk ofisini na namba ya Bara waliniwekea kabisa. Mie nilienda na kulipia pesa waliyohitaji kwisha mchezo mengine yote walifanya waliyoniuzia
Nilienda mwenyewe na nilinunua kwenye yard kabisa na wao ndio walisafirisha kuja bara nililipa gharama zote. Wao waliniletea mpk ofisini na kila kituSi wote walio bahatika kama wewe. Wengine wameishia kupigwa
Jr[emoji769]
Ulilipia kama bei gani mkuu ?Nilienda mwenyewe na nilinunua kwenye yard kabisa na wao ndio walisafirisha kuja bara nililipa gharama zote. Wao waliniletea mpk ofisini na kila kitu
Sikumbuki ni muda sana umepitaUlilipia kama bei gani mkuu ?
DuhUkiagiza gari Zenji sasa hivi jiandae kupigwa tu hiyo gari kama ni milioni saba
Bandarini ushuru utapigwa milioni nne
That means unatakiwa uwe na 10M+
Sasa tabu hiyo si bora uchukue showroom za hapahapa Bongo tu.
kule kodi zao zipo chini, hivyo gari zao nafuu sanaIla kwa zanzibar kuna unafuu mkubwa sana maana naona hata magari yao yanayounzwa inster bei ni rahic sana