Kaluluma
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 468
- 619
Habari za leo wanaJamiiForum
Kijana wenu ni mhangahikaji hapa mjini, nimeomba tenda fulani kupitia kwenye mfumo wa manunuzi wa serikali(nest) na nimefanikiwa kupata tenda hiyo kwani nimepokea award letter.
Changamoto niliyokutana nayo ni kwamba kwa kuwa ni mara yangu ya kwanza kuomba kupitia mfumo huu.
Je ninapopeleka bidhaa uliyotajiwa kuna ulazima wa kwenda na award letter ikiambatana na invoice pamoja na delivery note kama ilivyo kawaida?
Na kama kuna mbinu na njia za kuboresha upataji tenda katika mfumo huu naomba kujulishwa.
Natanguliza shukrani🙏