Waliowahi kutibiwa Mloganzila Vs wanaoisikia Mloganzila

Waliowahi kutibiwa Mloganzila Vs wanaoisikia Mloganzila

Copro mtego

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2022
Posts
619
Reaction score
796
Wiki iliyopita ulikuwepo mjadala wa utoaji huduma za afya katika hospitali ya Mloganzila.

Kwa kupitia uzi ule niligundua watu waliwahi kupata huduma wote walionesha kulizishwa na kuipenda huduma ya pale (isipokuwa mtu mmoja aliyedai mwanae hakuhudumiwa vizr na akakosa maelezo ya kueleweka)

Lakini watu ambao hawakuwahi kufika hospitalini pale wanaisema kwa hisia tu na kusema mabaya yake bila kuwa na uthibitisho.

Kwa hiyo niligundua kwamba waliowahi kutibiwa pale wana furaha sana na huduma za pale tofauti na wanaosikiliza maneno ya mitaani.
 
Tunahitaji kichwa Cha habari tu nyama tunajazia wenyewe hata kama hatujui kitu
 
Back
Top Bottom